Diamond Platnumz, hujui kuvaa

Hiyo wakongwe tunaita PEKOSI
Enzi zangu napiga hiyo chini na kashat kanabana huku vifungo vya juu Navilegeza na afro langu kichwani limeng'aa
Nikizama disko demu wako nakupokonya chini nimepiga skuna
 
Usimstue bwana.
 
Mkuu Uwe unajipa muda wa kuangalia fashion show za ma designer wakubwa kama kina Versace utamuelewa tu kijana anapopita....
Nimependa umetumia lugha nzuri kumuelimisha mtoa mada tofauti na wengine wanatumia lugha Kali na Zisizofaa kumshambulia mtoa mada.Nafikiri kea ujumbe wako Huu atakuelewa tofauti na hapo basi atakuwa ni mbishi by nature
 
Hiyo wakongwe tunaita PEKOSI
Enzi zangu napiga hiyo chini na kashat kanabana huku vifungo vya juu Navilegeza na afro langu kichwani limeng'aa
Nikizama disko demu wako nakupokonya chini nimepiga skuna
Umesahau chini umetupia viatu vya Raizoni "Laizoni"
🤣🤣
 
Nimependa umetumia lugha nzuri kumuelimisha mtoa mada tofauti na wengine wanatumia lugha Kali na Zisizofaa kumshambulia mtoa mada.Nafikiri kea ujumbe wako Huu atakuelewa tofauti na hapo basi atakuwa ni mbishi by nature
Ndio hivyo mkuu saa nyingine tukiongea kwa Upendo tunaelewana
 
Kuvaa vizuri ni aje wakuu?
manake sisi wengine wagumu tunatoa nguo kwenye kamba ya kuanikia nguo inavaliwa hapohapo naamsha popo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…