Diamond Platnumz, hujui kuvaa

Diamond Platnumz, hujui kuvaa

Mambo yake muachie mwenyewe...

Hua hawavai bali wanavalishwa...
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Unatakiwa muombe huyo uliomwambia sio mimi ila nimetoa tu ushauri Unaweza ukampinga mtu lakini usimdharau kwa kigezo Cha kifedha
Sijapendezwa na yeye kujishughulisha na uvaaji wa tu.
Ukumbuke kupendeza au kutopendeza pia kunatokana na body mopholoji ya mtu.
Mtu mwenye mwili mzuri hata akivaa gunia hupendeza lkn miili mingine pia haina shukrani cc Dai.
Pili..Dai ni msanii uvaaji wake ni wa kisanii zaidi.
Japo kuna wakati anatupia na anapendeza kweli kweli kweli.
La mwisho...tusiingilie maisha ya watu wavae watakavyo mkuu
 
Umeangalia show ya Super Bowl juzi then mtizame Kendrick Lamar alivaa vipi?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Zari alikua ana mpendezesha huyu kijana wakitoka out kama vile ma staa wa mbele huko, sasa hivi hata mvaa lonya ana afadhali sikuizi hapendezi kabisa hayo mavazi amuachie koffi olomide ndio swaga zake, yeye domo hata hazimpendezi
 
Mwamba unampenda Sana Zari ila mbaya
 
Jamaa mbona hapo ametupia fresh sana, katoka na vintage look. Style hiyo miaka ya 70s mpaka 80s ilitamba sana. Usije ukashangaa ikarudi tena kwenye fashion.
 
Zari alikua ana mpendezesha huyu kijana wakitoka out kama vile ma staa wa mbele huko, sasa hivi hata mvaa lonya ana afadhali sikuizi hapendezi kabisa hayo mavazi amuachie koffi olomide ndio swaga zake, yeye domo hata hazimpendezi
Uchawi upo mkuu aliyewasambaratisha Zari na Diamond alaaniwe,yule ndio mke sasa sio hivi vinuka mkojo.Zari alikuwa full package,mzuri,mpambanaji na ana exposure
 
Diamond anavaa kama mwanamuziki na kama celebrity. Ni ngumu sana kumuelewa kama hujui hilo.!
Naelewa mkuu ila sio kila nguo itapedeza kila mtu,angalia kariba yako kabla ya kuvaa nguo fulani,mtu kama tupac ,notorios,dk dre wasingevaa huo ujinga akapendeza,ila outcast wakivaa wanaonekana powa.hayo matambara amuachie koffi olomide
 
Back
Top Bottom