low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,323
- 1,496
Mwanaume wa kwel ni yule anaesonga mbele kutafuta sio kutafutana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulazimisha matamanio yako yaonekane kua ni sheriaNB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",
Yaani unaweza kufananisha hao kina Matonya ,feruzi,q chief na Diamond Platnumz? Upo sawa kweli wewe.Wamepita kina matonya Q chief ferooz itakuwa yeye otherwise hayo ni maoni tu sio katiba
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.
Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .
Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.
WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.
NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",
Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Hayo ni mambo unayowaza kichwani kwako,labda hao clouds ndo wampigie magoti diamond......Diamond ndo bongo fleva,akifa nayo imekufa tunarudi kwenye bolingo.