Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

Utabiri wako ni local sana na hauta fanikiwa
 
Huyu dogo utaishia kumuombea mabaya lakini strong base yake ni mamilioni ya mashabiki/social media followers walio naye bega kwa bega. Ana fan base kubwa hata maeneo ambayo clouds media haifahamiki,haifiki na wala haina influence. Star yoyote anaweza kushuka lakini kwa nini umuombee mabaya kijana anaye hustle day in day out na yupo kwenye level ambayo vijana wengi wa Kitanzania wangekuwa wamebweteka labda hata na kuingia kwenye uteja? Tuchukue mifano ya talents ambazo through and through zina backup ya clouds media ie;Barnaba Classic mbona wanashindwa kumvusha zaidi ya pale alipo? Uwanja wa mtu kutamba na ku'mushroom uko zaidi kwenye social media zaidi ya TVs na Radios kwa sasa, kama Vanessa na Jux waliweza kufanya matamasha wenyewe yakawa almost the same level na fiesta za clouds unadhani watu wa strategies kama kina Salam hiyo Wasafi festival(which is planned to be international) itakuwa ya kiwango gani? Usipende kuombea wenzio mabaya,hata majority ya wengi(si wote) wenye anti-Diamond sentiment ni sababu ya wivu wa mafanikio yake na hasira kwa nini kadri wanavyoombea ashuke kimuziki ndiyo anazidi kupaa. Ukitaja big names kwa sasa katika muziki wa Afrika huwezi kuliacha jina la Diamond, acha aendelee kupiga mabao locally na internationally.
 
clouds sasa kimenuka maana wanakutana na upinzani wa hatari, halafu kimsingi wasanii wengi wananyonywa sana lakini hua hawasemi ukweli, waache wasafi watusue wasaidie wasanii wachanga bongo
fu*ck clouds
 
Hawa clouds wanajifanya wanajua sana....watangazaji wao kuwa ni mashoga na wasagaji hilo pia ni janga jingine F**ck clouds....go Wasafi gooooo
 
Mtoa maada achana na hawa wapiga keleleambao hawajui chochote juu ya ukuaji wa media
Diamond kwenye media atashindwa vibaya!
 
Sisi sote tunampenda Diamonds platnumz na crew yake,nyimbo zake hatuzisikilizi kny radio yako hiyo unayoipigia debe, bali kny mitandao ya intanet mbalimbali na baadhi ya redio sizizo na roho mbaya na kila ngoma wanazozitoa zinabamba kinyama,huoni kwa tathmini yako kama radio yako ndio iliyopotea????
 
Wamepita kina matonya Q chief ferooz itakuwa yeye otherwise hayo ni maoni tu sio katiba
Yaani unaweza kufananisha hao kina Matonya ,feruzi,q chief na Diamond Platnumz? Upo sawa kweli wewe.
Diamond ametawala bongo fleva miaka 10 mfululizo bila kushuka wala kuwa na mbadala pale top.Unakuja kumfananisha na watu waliotawala miaka miwili na hit songs mbili 3 wakapotelea kusikojulikana.Kwanza nikifuatilia nyuzi zako humu utakuwa miongoni mwa waliokuwa wanamtabiria Diamond kupotea toka 2013...ROHO INAKUUMA KUONA ANAZIDI KUPAA BADALA YA KUSHUKA.....UNAWISH SASA AWAOMBE MSAMAHA CLOUDS....ESOPO.
 
Clouds Media group
Nnachoamini Diamond platnumz ni kama maji hayakwepeki,hata pale Clouds kuna watu wanamkubali sana jamaa ila tatizo uongozi ndo ushabana kwamba hakuna kucheza nyimbo yoyote ya jamaa.
Nilishangaa sana kuona hadi nyimbo ya Navy Kenzo-Katika,haichezwi kwenye Clouds fm wala tv kisa tu mchizi yumo ndani.
 
unajua kama ruge na THT yake walimkataa diamond kuwa hajui kuimba mwaka 2007? hana vigezo vya kujiunga THT


 
Hayo ni mambo unayowaza kichwani kwako,labda hao clouds ndo wampigie magoti diamond......Diamond ndo bongo fleva,akifa nayo imekufa tunarudi kwenye bolingo.

Duuuh mkuu unamaana kama bongo movie ilivyokufa alivyokufa Kanumba? Halafu kurudi kwenye bolingo kama zipompapompa, ndombolo ya solo aaaaaah hizo nabisha!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We mleta kamba huna akili coz huwez mfananisha Diamond na akina Ruby, Ray C na huyo Chilla. Acha utumwa wa akili kwahyo ulitak Diamond awe mtumwa kama hao wanaopelekeshwa kiboya? Kwa taarfa yako hata Diamond akiamua kuacha muziki leo hawez kuwa maskini tena kama hao kina Rayc. Diamond ni habari nyingine mzee usimtaje kwenye ujinga ujinga wako mana hata huyo Ruge wenu haoni ndani kwa hela wala mali anazomilik mselaπŸ’°πŸ’°πŸ’³πŸ’³πŸ’΅πŸ’΅πŸ’ΈπŸ’·πŸ’ΆπŸ”«πŸ“€πŸŽ§πŸŽ·πŸŽΉπŸŽ»πŸŽΌπŸŽΆπŸŽ΅πŸ“ΊπŸ“»πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ¬πŸŽ¬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…