LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Usiku wa jana msanii Davido alifanya onyesho la Muziki na kufanikiwa kuujaza uwanja wa O2 Arena wa nchini England ambao unao uwezo wa kujaza Mashabiki 20,000. Katika onyesho hilo Davido alionekana kumiliki Stage vizuri huku akiimba mwanzo kwisho na Sio kuwaachia mashabiki waimbe wenyewe kama afanyavyo Msanii Diamond platnumz kitu ambacho kimekuwa kikiwakera mashabiki wengi katika Show zake za nyuma hasa ile ya Kenya.
Diamond unatakiwa ujifunze kumiliki stage vizuri kama afanyavyo Davido, Usipende kuacha mashabiki waimbe kwani wao wameingia kukusikia wewe, jifunze Kuimba Nyimbo mwanzo hadi Mwisho ili kukta kiu ya mashabiki wako na sio kukata kata nyimbo hovyo hovyo kama afanyavyo DJ waka RJ, ukifanya hivyo utaendelea kuharibu.
Sent using Jamii Forums mobile app