Diamond Platnumz Jifunze kufanya show kama aliyofanya Davido Usiku wa jana O2 Arena UK

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Usiku wa jana msanii Davido alifanya onyesho la Muziki na kufanikiwa kuujaza uwanja wa O2 Arena wa nchini England ambao unao uwezo wa kujaza Mashabiki 20,000. Katika onyesho hilo Davido alionekana kumiliki Stage vizuri huku akiimba mwanzo kwisho na Sio kuwaachia mashabiki waimbe wenyewe kama afanyavyo Msanii Diamond platnumz kitu ambacho kimekuwa kikiwakera mashabiki wengi katika Show zake za nyuma hasa ile ya Kenya.

davidoofficial-20190128-0001.jpeg

Diamond unatakiwa ujifunze kumiliki stage vizuri kama afanyavyo Davido, Usipende kuacha mashabiki waimbe kwani wao wameingia kukusikia wewe, jifunze Kuimba Nyimbo mwanzo hadi Mwisho ili kukta kiu ya mashabiki wako na sio kukata kata nyimbo hovyo hovyo kama afanyavyo DJ waka RJ, ukifanya hivyo utaendelea kuharibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Treand inaonesha diamond amekua akishuka kimuziki ndani ya miaka miwili tokea 2017, mafanikio ya kiuchumi na uwekezaji anaoufanya kwa sasa ni kutokana na faida aliyoipata miaka ya nyuma kwa maana hiyo diamond hata kujaza uwanja wa taifa itabidi kusiwe na kiingilio au kikiwepo kisizidi buku mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye jukwaDavido ni mweupe hajui kulitawala jukwaa na sauti inawahi kukata.Msanii wa Nigeria ninaye mkubali ni MR Flavor yule amaa anajua kulitawala jukwaa,Davido anazunguka zunguka baada ya nusu saa sauti inakata,sema Davido ni maarufu kuliko Diamond ,pili mziki wa Nigeria ndio umeshika Afrika ,kwa hiyo kujaza hiyo Arena kwa Davido si shangai.Tumemuona next door Masaki wa kawaida, akiwa kwenye jukwaa.
 
kuimba live band sio mchezo.. ila naona siku hizi mondi anajaribu lakini kiwango hakiridhishi
 
Kwenye jukwaDavido ni mweupe hajui kulitawala jukwaa na sauti inawahi kukata.Msanii wa Nigeria ninaye mkubali ni MR Flavor yule amaa anajua kulitawala jukwaa,Davido anazunguka zunguka baada ya nusu saa sauti inakata,sema Davido ni maarufu kuliko Diamond ,pili mziki wa Nigeria ndio umeshika Afrika ,kwa hiyo kujaza hiyo Arena kwa Davido si shangai.Tumemuona next doo Masaki wa kawaida .
Msisahau kuwa pia walikuwepo Beyonce na drake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye jukwaDavido ni mweupe hajui kulitawala jukwaa na sauti inawahi kukata.Msanii wa Nigeria ninaye mkubali ni MR Flavor yule amaa anajua kulitawala jukwaa,Davido anazunguka zunguka baada ya nusu saa sauti inakata,sema Davido ni maarufu kuliko Diamond ,pili mziki wa Nigeria ndio umeshika Afrika ,kwa hiyo kujaza hiyo Arena kwa Davido si shangai.Tumemuona next doo Masaki wa kawaida .
Lazima davido awe wa kawaida bongo, wabongo tuna nata sana, na tukimpapatikia mtu hadi inakera, kumbuka makirikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikuwepo uwanjani hapo.davido harusi show za simba hata robo.
Tofauti yake anaenda kule anarudi huku.mondi tumuache kama alivyo😂😂😂😂
 
Usiku wa jana msanii Davido alifanya onyesho la Muziki na kufanikiwa kuujaza uwanja wa O2 Arena wa nchini England ambao unao uwezo wa kujaza Mashabiki 20,000. Katika onyesho hilo Davido alionekana kumiliki Stage vizuri huku akiimba mwanzo kwisho na Sio kuwaachia mashabiki waimbe wenyewe kama afanyavyo Msanii Diamond platnumz kitu ambacho kimekuwa kikiwakera mashabiki wengi katika Show zake za nyuma hasa ile ya Kenya.

View attachment 1007043

Diamond unatakiwa ujifunze kumiliki stage vizuri kama afanyavyo Davido, Usipende kuacha mashabiki waimbe kwani wao wameingia kukusikia wewe, jifunze Kuimba Nyimbo mwanzo hadi Mwisho ili kukta kiu ya mashabiki wako na sio kukata kata nyimbo hovyo hovyo kama afanyavyo DJ waka RJ, ukifanya hivyo utaendelea kuharibu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Drake na Beyonce pia walikuwepo hapo
 
Diamond ana mengi ya kujibadili

Siku hizi wengi wameacha kuwa walivyokuwa kwake kabla ya madrama ya aibu aliyojiletea.

Na tatizo hajifunzi na management yake ya wale wanaozunguka nae sana.. sijui kwanini wakiona mtu wa kumuongoza apae ni kama wanaogopa hawataweza kupata chao wanachopata kizaidi kwa sasa kwa kumpotosha.. yule mwenye dizimo onoine sijui nini ndio mmmmmh!!! Unamsimamiaje mwanamuziki na kuanza kusambaza aibu za yeye kuwa na madrama na wanawake.. wanafikiri ilikuwa sifa kumbe eeeeh kwa kumuogopa Zee angempa akili nyingi zaidi Dee wakachangia kumtoa..

Show kama hiyo Diamond hawezi kufanya.. angeweza kabla ya tukio la 14/02/2018 kumtokea

Kwa sasa naona mmmmmh

Davido na Chioma ndio bombaaaa.. oyaaaa anayejua kwanini nimeyaandika haya ataelewa.. msipitwe na udaku una mengi ya kuyajua.. instagram oyeeeee
 
Kwenye jukwaDavido ni mweupe hajui kulitawala jukwaa na sauti inawahi kukata.Msanii wa Nigeria ninaye mkubali ni MR Flavor yule amaa anajua kulitawala jukwaa,Davido anazunguka zunguka baada ya nusu saa sauti inakata,sema Davido ni maarufu kuliko Diamond ,pili mziki wa Nigeria ndio umeshika Afrika ,kwa hiyo kujaza hiyo Arena kwa Davido si shangai.Tumemuona next door Masaki wa kawaida, akiwa kwenye jukwaa.
Kwa hiyo aliyekuwa jukwaani siyo David?
 
Usiku wa jana msanii Davido alifanya onyesho la Muziki na kufanikiwa kuujaza uwanja wa O2 Arena wa nchini England ambao unao uwezo wa kujaza Mashabiki 20,000. Katika onyesho hilo Davido alionekana kumiliki Stage vizuri huku akiimba mwanzo kwisho na Sio kuwaachia mashabiki waimbe wenyewe kama afanyavyo Msanii Diamond platnumz kitu ambacho kimekuwa kikiwakera mashabiki wengi katika Show zake za nyuma hasa ile ya Kenya.

View attachment 1007043

Diamond unatakiwa ujifunze kumiliki stage vizuri kama afanyavyo Davido, Usipende kuacha mashabiki waimbe kwani wao wameingia kukusikia wewe, jifunze Kuimba Nyimbo mwanzo hadi Mwisho ili kukta kiu ya mashabiki wako na sio kukata kata nyimbo hovyo hovyo kama afanyavyo DJ waka RJ, ukifanya hivyo utaendelea kuharibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
alifanya live show?
 
Ilikua ni LIVE BAND au CD ?
 
Back
Top Bottom