JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Akiwa Marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni, mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani @fakewatchbusters wamethinisha kuwa ni feki na hazijawahi kutengenezwa na watengenezaji OG.
Ukiangalia kwa upande wa swizzbeats yeye kavaa simple tu bila lundo la mishanga kwani kavaa saa ya kijani aina ya Richard Mille RM 52-06 Green Emerald “Mask” Tourbillon Yenye thamani ya USD $2,500,000 ambazo kama TSHS Billioni 5,779,035,000 za kitanzania.