Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Huwa nawakubali sana FA na AY muda mwingi wapo simple kuanzia lifestyle, mavazi hata unywaji. Hawanaga ushamba mwingi kwenye appearence.
Ndo mana hawajawa level za diamond , hzo level zinahtaj ufanye visa vya hapa na pale....ukiwa normal na mambo yako yanakuwa normal...Diamond kachamgamsha biashara ya mziki hapa bongo
 
Nmechekaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Instagram from kwa mpalangee[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1625417515614.jpg
 
Akiwa marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni , mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani @fakewatchbusters wamethinisha kuwa ni feki na hazijawahi kutengenezwa na watengenezaji OG.

Ukiangalia kwa upande wa swizzbeats yeye kavaa simple tu bila lundo la mishanga kwani kavaa saa ya kijani aina ya Richard Mille RM 52-06 Green Emerald “Mask” Tourbillon
Yenye thamani ya USD $2,500,000 ambazo kama TSHS Billioni 5,779,035,000 za kitanzania.
View attachment 1840791View attachment 1840792View attachment 1840793
Mnapenda sana kudandia mambo aisee,Billion 5 unaijua ww au unaongea tu!!
 
Hapa watamponda Sadala ila kesho unaweza ukakuta wao wanalilia kufanya Collabo na Wiz.

Nakumbuka Diamond alivyo enda kufanya Collabo na Davido ,baadae kidogo akaenda kwenye sherehe iliyo andaliwa na P Square wakaponda "...anajipendekeza........anapenda shobo........." hatimae jamaa akapata Collabona Psquare.Leo nao wakarudia kilekile wamesafiri kwenda Nigeria na hatimae wamepata Collabo mmoja wa wasanii wa P Square.
 
Kwani ye kasema amevaa Cheni OG au ni viherehere tu vya waganga njaa.
 
Hata hiyo ya swizz beat inaweza kuwa fake tu siwaaminigi hawa wasanii.
 
Saa Billion 5!? Au typing errors!?
Inaweza kuwa kweli maana Mayweather amenunua saa ya almasi japani Kwa USD milioni 18........SASA hapo kibongo bongo si tayari mtaji WA kampuni na wafanyakazi lundo ...........lakini yeye kanunua saa moja tena hata MKONONI aijai vizuri😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom