Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Mnakosaga kazi mnaanza kugogo ujinga..Diamond kakupiga bao hata mkusanyane koo ya ubabani na umamani kwenu mchanganye pesa zote mlizowahi , mlizonazo na mtakazo kuja shika.
Mawazo ya kimaskini sana haya, nini kinakufanya uamini mimi familia yetu tuko ivyo?
 
Hata hiyo ya swizz beat inaweza kuwa fake tu siwaaminigi hawa wasanii.
Naunga mkono hoja maana hizo saa zina range $80,000 - $2million
Na walionazo wako kwenye list [emoji2][emoji2]
Kuna jamaa hapo anavaa ya $ 18 millions eeh maisha haya
20210704_204432.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja maana hizo saa zina range $80,000 - $2million
Na walionazo wako kwenye list [emoji2][emoji2]
Kuna jamaa hapo anavaa ya $ 18 millions eeh maisha hayaView attachment 1841436

Sent using Jamii Forums mobile app
Swizz hawezi kuvaa feki hadharani watu wanazoom alafu wanaichambua inajulikana tu kama feki au OG, msanii wetu yeye anavaa feki anajua maboya hawajui kitu hapa tandale
 
Swizz hawezi kuvaa feki hadharani watu wanazoom alafu wanaichambua inajulikana tu kama feki au OG, msanii wetu yeye anavaa feki anajua maboya hawajui kitu hapa tandale

Mkuu unateseka kwa hilo jambo?
 
Sasa uwezo wake ndo umeishia kuchukua fake, kwani sadala mwenyewe anasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom