JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #101
Aisee kuna video kaipost instastory yake yani yuko kwenye rooftop party na kina swizzbeats, akon, na busta ila yeye yuko busy kupiga mapicha na mpiga picha wake lukamba hadi kina busta wanacheka kuna sehemu swizz kama ana inama chini kwa aibu, yani mondi ni kama anarekodi utafukili mwisho wa dunia unakaribia.nampongeza sana kwa hatua za kukutana na huyo mtaaalamu anayeheshimika duniani....hata mchizi DMX ameenda kaburini huku akimheshimu huyo jamaa. hits zake zote zilizohit vibaya dunia nzima huyo ndo mtengezaji.
alichoninikera diamond (najua hainihusu lkn nasema tu);
1. uvaaji wa micheni usiokuwa na maana kwa sasa naona kama umepitwa na wakati.....watu wanakuwa simple tu. ukifanya hivyo unaonekana kama mshamba flani hivi.
2. pozi zinazosema 'nioneni'. ukiwaangalia hao wawili unaona kabisa pozi yake diamond ni ya kuchamba, yaani ni pozi ya mswahili. huyo swizz beats anaonekana yuko relaxed, yuko real...
Alafu dresscode sasa wenzio wako simple na ma tshirt ila yeye kavaa koti kama michael jackson alafu tumbo liko wazi na mabuti yake ya kupandia farasi ya Lil Nas X yule shoga. Yaani ukiangalia utaona aibu.