Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Chuki huletwa na wivu pamoja na dharau...utapata tabu Sana😁
 
instagram mi nina uhakika hata zanzibar hujawahi fika... na hao wataalamu wako nina uhakika wanavaa viatu feki vya pale karume... na ww bila shaka yoyote n mdau mzuri sana wa mitumba pale Mwenge.

Sasa unapata wapi ujasiri wa kuwachambua wanaovaa vitu feki na wapo marekani?? vp hapa buza kwenye kijiwe cha bao saa ngapi utatimba!?
 
instagram mi nina uhakika hata zanzibar hujawahi fika... na hao wataalamu wako nina uhakika wanavaa viatu feki vya pale karume... na ww bila shaka yoyote n mdau mzuri sana wa mitumba pale Mwenge.

sasa unapata wapi ujasiri wa kuwachambua wanaovaa vitu feki na wapo marekani?? vp hapa buza kwenye kijiwe cha bao saa ngapi utatimba!?
Una uhakika ndo mana unabeti na unaliwa. Unafikiri kila mtu hapa anaishi Tanzania.
 
Akiwa marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni , mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani @fakewatchbusters wamethinisha kuwa ni
Jamani muoneeni huruma tu dogo lenu....kijana bado ni mshamba sana, kumbukeni Tandale si Marekani.....dogo anasumbulia na cultural shock.
 
Hapa watamponda Sadala ila kesho unaweza ukakuta wao wanalilia kufanya Collabo na Wiz.

Nakumbuka Diamond alivyo enda kufanya Collabo na Davido ,baadae kidogo akaenda kwenye sherehe iliyo andaliwa na P Square wakaponda "...anajipendekeza........anapenda shobo........." hatimae jamaa akapata Collabona Psquare.Leo nao wakarudia kilekile wamesafiri kwenda Nigeria na hatimae wamepata Collabo mmoja wa wasanii wa P Square.
Ndiyo walivyo, they lack confidence mpaka waone mpambanaji kawafungulia njia na kuiweka nchi kwenye ramani katika tasnia hiyo yaani in short mpaka Sadala awarahisishie uelekeo wa kupita ndiyo wanaona 'kumbe inawezekana'.
Hate inawajaa kwa kuwa upambanaji wake wao hawauwezi.
 
kumbe Mondi Kwa Wiz ni pimbi tu daa Hilo jamaa nilikua nalichukulia easy kumbe pande la mtu dadeq!
😂😂😂😂
images (29).jpeg
 
Hao ma hip-hoppers wa Marekani wote wamevaa fake gold na hilo linajulikana kiasi kwamba its a non issue.

Yani mnafikiri yale ma heavy gold chain waliyovaa kina LL Cool J, Slick Rick, Big Daddy Kane, Heavy D, Biggie, 2Pac, Nas, etc ni real gold?

Hizo heavy gold chains ni symbolic, hazitakiwi kuchukuliwa kama authentic.
 
Akiwa Marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni , mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani @fakewatchbusters wamethinisha kuwa ni feki na hazijawahi kutengenezwa na watengenezaji OG.

Ukiangalia kwa upande wa swizzbeats yeye kavaa simple tu bila lundo la mishanga kwani kavaa saa ya kijani aina ya Richard Mille RM 52-06 Green Emerald “Mask” Tourbillon Yenye thamani ya USD $2,500,000 ambazo kama TSHS Billioni 5,779,035,000 za kitanzania.

Nasikia kuna maswali yaliibuka kama Diamond ni msanii wa mziki au komediani, mwenye jibu atupe tafadhali!
 
Hao ma hip-hoppers wa Marekani wote wamevaa fake gold na hilo linajulikana kiasi kwamba its a non issue.

Yani mnafikiri yale ma heavy gold chain waliyovaa kina LL Cool J, Slick Rick, Big Daddy Kane, Heavy D, Biggie, 2Pac, Nas, etc ni real gold?

Hizo heavy gold chains ni symbolic, hazitakiwi kuchukuliwa kama authentic.
Tulia kijana unazungumzia 80s na 90s huko wenzako wako kwenye diamonds mpaka sasa muwakilishi wetu pande za Africa ni Davido mtu mmoja alisikiwa anasema "His taking back the Diamonds to Africa".
 
nampongeza sana kwa hatua za kukutana na huyo mtaaalamu anayeheshimika duniani....hata mchizi DMX ameenda kaburini huku akimheshimu huyo jamaa. hits zake zote zilizohit vibaya dunia nzima huyo ndo mtengezaji.

alichoninikera diamond (najua hainihusu lkn nasema tu);
1. uvaaji wa micheni usiokuwa na maana kwa sasa naona kama umepitwa na wakati.....watu wanakuwa simple tu. ukifanya hivyo unaonekana kama mshamba flani hivi.
2. pozi zinazosema 'nioneni'. ukiwaangalia hao wawili unaona kabisa pozi yake diamond ni ya kuchamba, yaani ni pozi ya mswahili. huyo swizz beats anaonekana yuko relaxed, yuko real...
 
Hao ma hip-hoppers wa Marekani wote wamevaa fake gold na hilo linajulikana kiasi kwamba its a non issue.

Yani mnafikiri yale ma heavy gold chain waliyovaa kina LL Cool J, Slick Rick, Big Daddy Kane, Heavy D, Biggie, 2Pac, Nas, etc ni real gold?

Hizo heavy gold chains ni symbolic, hazitakiwi kuchukuliwa kama authentic.
KwaiYo unataka kusema ni fake wanavaa sio? Hao kina pac, baggie na wengine
 
Nlitegemea kuiona hyo post ya huo mtandao wa fakewatcher, kuliko picha za diamond ambazo tushaziona.
 
Hao ma hip-hoppers wa Marekani wote wamevaa fake gold na hilo linajulikana kiasi kwamba its a non issue.

Yani mnafikiri yale ma heavy gold chain waliyovaa kina LL Cool J, Slick Rick, Big Daddy Kane, Heavy D, Biggie, 2Pac, Nas, etc ni real gold?

Hizo heavy gold chains ni symbolic, hazitakiwi kuchukuliwa kama authentic.
Kuvaa fake ni kwa ma brokeass celebrities ila Nas na 2pac hawajavaa fake peleka uongo wako. Pac alishawahi kuwa set up hadi akaanzisha bifu kubwa baada ya kumvamia akitokea studio na kumpora cheni kubwa ya gold.

Kwaiyo kumbe wewe unaonaga cheni za kina migos, Quavo na wenzingine akina Mayweather ni feki? Eti Symbolic [emoji30], Ulizia Jackob the jeweler wa new york ndo anaewatengenezea ma star wengi micheni mikubwa ile na wanalipia pesa nyingi sana hadi wengine wana madeni.

Kama una mtetea msanii wako wewe tetea ila usiseme eti wasanii wa mbele wanavaa feki utachekwa.
 
Back
Top Bottom