Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nawakubali sana FA na AY muda mwingi wapo simple kuanzia lifestyle, mavazi hata unywaji. Hawanaga ushamba mwingi kwenye appearence.Akiwa marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni , mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani @fakewatchbusters wamethinisha kuwa ni feki na hazijawahi kutengenezwa na watengenezaji OG.
Ukiangalia kwa upande wa swizzbeats yeye kavaa simple tu bila lundo la mishanga kwani kavaa saa ya kijani aina ya Richard Mille RM 52-06 Green Emerald “Mask” Tourbillon
Yenye thamani ya USD $2,500,000 ambazo kama TSHS Billioni 5,779,035,000 za kitanzania.
View attachment 1840791View attachment 1840792View attachment 1840793
Hata zikiwa OG ukivaa mingi hvo mm ntakuona ww ni msambaa tuSiyo ushamba kama ukivaa vitu OG
Well Well!Mwenzio yupo US wewe upo insta hamuoni kwamba mnatakiwa kupimwa akili? Nauli ya kwenda na kurudi tu US kwenu ni mtaji. Wabongo tafuteni shughuli ya kufanya kuliko kufuatilia maisha y watu
Hawq hapa"Wataalamu wa mambo wa vito vya thamani kutoka INSTAGRAM."
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe instagram kuna watalamu sasa wametumia kifaa gani kupima ?(basi atasema kwa macho).
Ila ninacho ikubali mitandao ya jamii kila mtu anajua aka wataalam.
Diamond amekwambia hiyo micheni ni og?Akiwa marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni , mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani @fakewatchbusters wamethinisha kuwa ni feki na hazijawahi kutengenezwa na watengenezaji OG.
Ukiangalia kwa upande wa swizzbeats yeye kavaa simple tu bila lundo la mishanga kwani kavaa saa ya kijani aina ya Richard Mille RM 52-06 Green Emerald “Mask” Tourbillon
Yenye thamani ya USD $2,500,000 ambazo kama TSHS Billioni 5,779,035,000 za kitanzania.
View attachment 1840791View attachment 1840792View attachment 1840793
Hakuna typing error😅😅Saa Billion 5!? Au typing errors!?
Mpaka sasa sijaona kitu chochote kinacho reflect utalaam wao.
[emoji23]Umesema hiyo saa ni bilioni 5......!!?
ama...