Diamond Platnumz kashindwa kung'amua au balenciaga wamefeli kwenye designing

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania.

Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike.

Kwanini Balenciaga wasi design viatu hivyo tofauti kwa wanawake na wanaume au kuvifanya Unisex kama All stars.

Botte venom pour hemme en noir ni vya kiume.

_20250628_182616.JPG

Botte venom pour femme en noir ni vya kike.

_20250628_183019.JPG
 
View attachment 3387046

Botte venom pour femme en noir ni vya kike.

View attachment 3387045
Diamond ni Muha tu wa Kigoma, anajuwa nini kuhusu fashion....Muha na fashion wapi na wapi, ataroga saa ngapi?
 
Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania.

Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike.

Kwanini Balenciaga wasi design viatu hivyo tofauti kwa wanawake na wanaume au kuvifanya Unisex kama All stars.

Botte venom pour hemme en noir ni vya kiume.

View attachment 3387046

Botte venom pour femme en noir ni vya kike.

View attachment 3387045
Nilidhani labda utasema kavaa feki, kama kavaa original shida ipo wapi? Wewe hata kununua na kuvaa kiatu cha 80k huwezi, muacheni kijana wa watu avae atakavyopenda, hata angevaa skuna ya kike kabisa ya 5m ukimkosoa unapata faida Gani...!?
 
Lakini mnaongea fresh?
TJmeonana mara 2, April na June nilipofila kuwaona watoto.
Hapo tunaongea vizur tu tukionana.
Kwa siku tumewasiliana mara kadhaa ,chini ya x 7 toka ugomvi utokee, zaid wanangu ndio humitafuta mara moja moja kwa simu ya mama yao
 
Back
Top Bottom