Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Nachukia kuachana hasa kwa watu wenye watoto, hii kitu mbaya sana.TJmeonana mara 2, April na June nilipofila kuwaona watoto.
Hapo tunaongea vizur tu tukionana.
Kwa siku tumewasiliana mara kadhaa ,chini ya x 7 toka ugomvi utokee, zaid wanangu ndio humitafuta mara moja moja kwa simu ya mama yao
Huyo amejifunza ukimpa nafasi atakupa mzigo kiroho safi🤣