Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Diamond ni Muha tu wa Kigoma, anajuwa nini kuhusu fashion....Muha na fashion wapi na wapi, ataroga saa ngapi?Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania.
Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike.
Kwanini Balenciaga wasi design viatu hivyo tofauti kwa wanawake na wanaume au kuvifanya Unisex kama All stars.
Botte venom pour hemme en noir ni vya kiume.
View attachment 3387046
Botte venom pour femme en noir ni vya kike.
View attachment 3387045
Nilidhani labda utasema kavaa feki, kama kavaa original shida ipo wapi? Wewe hata kununua na kuvaa kiatu cha 80k huwezi, muacheni kijana wa watu avae atakavyopenda, hata angevaa skuna ya kike kabisa ya 5m ukimkosoa unapata faida Gani...!?Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania.
Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike.
Kwanini Balenciaga wasi design viatu hivyo tofauti kwa wanawake na wanaume au kuvifanya Unisex kama All stars.
Botte venom pour hemme en noir ni vya kiume.
View attachment 3387046
Botte venom pour femme en noir ni vya kike.
View attachment 3387045
Achana nae mwehu Tu huyu yupo kutujazia serverHivi unazijua milioni 4,815,794 wewe?
Milioni,milioni nne laki nane na kumi na tano elfu Mia saba tisini na nne hizo hela usikute hata musk hana
Shemeji yetu hajambo?Mmmhh..haaaya
Fanton Mahal sema neno mkuuShemeji yetu hajambo?
Kama umemrudia litakuwa jambo jema sana
Hapana kaka. Hilo halipo, ni vile tu nakosa utulivu lakin mbioni nitaleta mrejesho,nishamalizana na habar za mahakama kwa 90%Shemeji yetu hajambo?
Kama umemrudia litakuwa jambo jema sana
Lakini mnaongea fresh?Hapana kaka. Hilo halipo, ni vile tu nakosa utulivu lakin mbioni nitaleta mrejesho,nishamalizana na habar za mahakama kwa 90%
TJmeonana mara 2, April na June nilipofila kuwaona watoto.Lakini mnaongea fresh?