Nachukia kuachana hasa kwa watu wenye watoto, hii kitu mbaya sana.TJmeonana mara 2, April na June nilipofila kuwaona watoto.
Hapo tunaongea vizur tu tukionana.
Kwa siku tumewasiliana mara kadhaa ,chini ya x 7 toka ugomvi utokee, zaid wanangu ndio humitafuta mara moja moja kwa simu ya mama yao
Sina uhakika kama amejifunza mkuu, lakin pia sikuondika ili yeye ajifunze. She pushed me away so Niliondoka kuheshimu maamuzi yake kama mtu mzima.Nachukia kuachana hasa kwa watu wenye watoto, hii kitu mbaya sana.
Huyo amejifunza ukimpa nafasi atakupa mzigo kiroho safi🤣
Acha walimu wamleSina uhakika kama amejifunza mkuu, lakin pia sikuondika ili yeye ajifunze. She pushed me away so Niliondoka kuheshimu maamuzi yake kama mtu mzima.
Acha wamle tu, ni maamuzinyale na mwili ni wake she is free kuutumia anavyotaka 😂Acha walimu wamle
Binafsi Mimi hufikiria watoto Sana Kama watakosa kitu fulani muhimu .Acha wamle tu, ni maamuzinyale na mwili ni wake she is free kuutumia anavyotaka 😂
Kwenye maswala ya fashion hamna jipya ni zile zile za zamani, viatu vya soli pana na ile mibwanga ya zamani imerudi.Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania.
Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike.
Kwanini Balenciaga wasi design viatu hivyo tofauti kwa wanawake na wanaume au kuvifanya Unisex kama All stars.
Botte venom pour hemme en noir ni vya kiume.
View attachment 3387046
Botte venom pour femme en noir ni vya kike.
View attachment 3387045
Is true, for my case, my first born has droped from being an A student to F im mathematics. I used to be her teacher , last week her mom called me analalamika kuhusu hilo saying " naomba ufanye namna ya kumsaidia hata kwa video call kama inawezekana".Binafsi Mimi hufikiria watoto Sana Kama watakosa kitu fulani muhimu .
Muda mwingine natamani mrudiane ili kulea watoto everyone mess up.
Maana hii situation ilimtokea uncle wangu Ila mke wake amechakaa Sana na kuzeeka Sana ibmnasikitisha Sana na mtoto wake first born amekuwa na mental problem japo uncle alioa workmate wake maisha yanaendelea vizuri Ila inaleta maumivu ki namna Fulani.
Kwakuwa upo in touch with her ikipatikana nafasi yakurudiana fanya hivyo.Is true, for my case, my first born has droped from being an A student to F im mathematics. I used to be her teacher , last week her mom called me analalamika kuhusu hilo saying " naomba ufanye namna ya kumsaidia hata kwa video call kama inawezekana".
Hii nina uhakika bro haitakaa itokee,licha ya kuwa mimi sitaki ila hata yeye kwa ego alionayo hawezi jishusha to that levelKwakuwa upo in touch with her ikipatikana nafasi yakurudiana fanya hivyo.
Wala sidhan anahitaji kuokolewa. She is well of. A civil servant, ana uhakika na chochote kitu, hana shida ndogo ndogo hiziNachojua huyo Baby mama wako ukirudiana naye utakuwa umemuokoa Sana na utakuwa umewapa watoto haki yao .
Sina uhakika sana, mimi nina amini aliamua akiwa timamu saana. She insisted thatUkitazama mambo mengi utagundua kuwa wanawake they are emotions driven .
Sasa baada ya kupigwa sana pipe ndio anataka airudishe ? 😂 Hell Naaaa..Juzi nilimtembelea Uncle wangu niliona mke wake ambaye walipeana divorce anaomba warudiane na wameachana 2013 rasmi .
Very. Good ladies are rare too man. Good people are really hard to find. Sasa kati yetu bado haijajulikana ,who was a good one. Hili tuna achia muda u reveal the truthKiufupi good man are rare.
she will never ever reach this point. I am sure.So just think twice akiomba nafasi yakurudi msamehe.
Hii nina uhakika bro haitakaa itokee,licha ya kuwa mimi sitaki ila hata yeye kwa ego alionayo hawezi jishusha to that level
Wala sidhan anahitaji kuokolewa. She is well of. A civil servant, ana uhakika na chochote kitu, hana shida ndogo ndogo hizi
Sina uhakika sana, mimi nina amini aliamua akiwa timamu saana. She insisted that
Sasa baada ya kupigwa sana pipe ndio anataka airudishe ? 😂 Hell Naaaa..
Very. Good ladies are rare too man. Good people are really hard to find. Sasa kati yetu bado haijajulikana ,who was a good one. Hili tuna achia muda u reveal the truth
she will never ever reach this point. I am sure.
Very sad kwakwel. Dunia hii!!Time reveal the all Truth , kwakuwa tupo tuombe uzima ipo siku utanambia .
Being civil servant
Being well of
And etc is nothing always love win over everything
kuna Age atafika na muda she will regret about her decision.
Mke wa uncle siku anaondoka alikuwa na mil 78 na she was at the age of 35 yrs
Aliolewa na jamaa akafariki akamuacha na mtoto mdogo na yule binti first born alimtorosha Shule now amepata shida ya akili kidogo sometimes yes sometimes no
wanawake wapo hivyo huwa hawatazami mbele wakiwa wanafanya maamuzi Ila nachojua lazima atarudi
Mimi uncle aliniita kwakuwa huwa namshauri Sana .
Nimemwambia ampatie Nyumba moja na amfanyie mpango wa kuwa anapata 200K ya matumizi .
Maana uncle wangu yupo early fifties Ila amefanikiwa kuwa na Nyumba Kama nne so kampatia Nyumba moja na kwa masharti magumu ikiwemo kutoiuza yaani kampatia sehemu amabayo watoto wakitaka kuonana na mama yao wamuone
Vijana wako form four na mwingine form one
Wanandoa Kuachana Huwa ni pigo kubwa sana Kwa watoto.Is true, for my case, my first born has droped from being an A student to F im mathematics. I used to be her teacher , last week her mom called me analalamika kuhusu hilo saying " naomba ufanye namna ya kumsaidia hata kwa video call kama inawezekana".
AmenWanandoa Kuachana Huwa ni pigo kubwa sana Kwa watoto.
Nawaombea Mungu awasaidie na watoto wasiathirike na Kuachana kwenu..
Kurudiana sidhani kama ni uamuzi sahihi..Kwakuwa upo in touch with her ikipatikana nafasi yakurudiana fanya hivyo.
Nachojua huyo Baby mama wako ukirudiana naye utakuwa umemuokoa Sana na utakuwa umewapa watoto haki yao .
Ukitazama mambo mengi utagundua kuwa wanawake they are emotions driven .
Juzi nilimtembelea Uncle wangu niliona mke wake ambaye walipeana divorce anaomba warudiane na wameachana 2013 rasmi .
Kiufupi good man are rare.
So just think twice akiomba nafasi yakurudi msamehe.