Nikisoma between the lines, naona bado una Ka feeling Kwake..Hii nina uhakika bro haitakaa itokee,licha ya kuwa mimi sitaki ila hata yeye kwa ego alionayo hawezi jishusha to that level
Wala sidhan anahitaji kuokolewa. She is well of. A civil servant, ana uhakika na chochote kitu, hana shida ndogo ndogo hizi
Sina uhakika sana, mimi nina amini aliamua akiwa timamu saana. She insisted that
Sasa baada ya kupigwa sana pipe ndio anataka airudishe ? 😂 Hell Naaaa..
Very. Good ladies are rare too man. Good people are really hard to find. Sasa kati yetu bado haijajulikana ,who was a good one. Hili tuna achia muda u reveal the truth
she will never ever reach this point. I am sure.
This has been my way to deal with this dram from day 1. And it has really been helpful. I have acted humany to her ever since na ndio maana hutaona mahala nimemzungumzia vibaya. Is a good strategy to mean business.Nikisoma between the lines, naona bado una Ka feeling Kwake..
Najua utabisha😀😀
Siku hizi wenzetu hawana gender issues tens.. Maana dume linaweza kuwa jike na jike linaweza kuwa dume ama yote mawiliBaada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania.
Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike.
Kwanini Balenciaga wasi design viatu hivyo tofauti kwa wanawake na wanaume au kuvifanya Unisex kama All stars.
Botte venom pour hemme en noir ni vya kiume.
View attachment 3387046
Botte venom pour femme en noir ni vya kike.
View attachment 3387045
umejibu vzr hadi raha...ukikua kiakili raha sana. Sasa wakimla wewe inakuhusu nini tena na alishakupush away? big up kwa maamuzi yako maana watu wanapenda kutingisha kiberit kama kimejaaAcha wamle tu, ni maamuzinyale na mwili ni wake she is free kuutumia anavyotaka 😂
Maisha haya yakusumbue, watu wazima na akili zao nao wakusumbue sasa what nonsense is that!. You have to choose your battles wisely, si kila battle ya kwenda front, vingine you sit back and observe.umejibu vzr hadi raha...ukikua kiakili raha sana. Sasa wakimla wewe inakuhusu nini tena na alishakupush away? big up kwa maamuzi yako maana watu wanapenda kutingisha kiberit kama kimejaa
Tafuta hela Kiongozi.Watu wanapigwa kweri kweri
Ova
ninachokushauri usiache kuwatunza wanao maana hao hawana kosa lolote. I salute you mkuu,,,amani ya moyo wako ni kubwa kuliko kurudiana.Maisha haya yakusumbue, watu wazima na akili zao nao wakusumbue sasa what nonsense is that!. You have to choose your battles wisely, si kila battle ya kwenda front, vingine you sit back and observe.
Nacho shukuru ni kila akitaka kuni disturb kuhusu watoto sijui wamefanyaje, natuma hela instanlty kwa madogo, tena namwambiaga yule mkubwa wa form 2, nenda kwa wakala sasa hiv, na cashout ana sepa, simtumii kwa simu😂
Hata sasa hiv hapa katoka kunipigia 😂
No,siwezi kuvaa midubwasha hiyoTafuta hela Kiongozi.
Maelekezo mengi ila TAFUTA HELA yaani ZITAFUTE HASAAA
#YNWA
#YANGA_BINGWA
TAFUTA HELA.No,siwezi kuvaa midubwasha hiyo
Kuvaa midude kama hiyo ni u hizi tu
Ova
Kabisa kabisaaaaaninachokushauri usiache kuwatunza wanao maana hao hawana kosa lolote. I salute you mkuu,,,amani ya moyo wako ni kubwa kuliko kurudiana.