omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Hata kama hanakata viuno ww inakuhuma nini???au kwasababu haujawai kumpa hata mkono rais ???ww mbona kaz yako kama mwanamke ya kulipwa jiwe nne kwa mwez mbona watu awakuongelei ndugu??acha chuki binafsi
Kumpa mkono raisi ndo nn?? Kweli ww kiazi nyie ndo nnao walenga mazombi utabaki kushabikia wengine wkt ukiendele Kusaga na rumba
Eti kumpa mkono raisi MPE ww kota
Kumpa mkono raisi ndo nn?? Kweli ww kiazi nyie ndo nnao walenga mazombi utabaki kushabikia wengine wkt ukiendele Kusaga na rumba
Eti kumpa mkono raisi MPE ww kota
Na uache kuzarau wanawake umuhimu na kazi za wanawake unazijua?? Si ndo ww na the so called diamond mnaingilia kazi zao
We ndo mjinga.. Sababu ni hater.
Nawaona wale haterz wa JF washatokwa povu
Nawe ukiwa mmojawapo haaaaaaaa
Ww una chuki binafsi kwa sababu haujawai hata kupata nafasi ya kuongea na rais ndugu na ujue diamond anaweza akawalisha wote katika familia yenu na ukoo wenu pia Kwa île kaz ya kukata viuno haaaaa
Mimi siwezi kuwa zombie kama ww sishabikii ujinga
Alisha wahi kukulisha ww na demu wako nn ??Me nimekwambia ww kaz yako unayofanya ni kama kaz zile za wanawake za kulipwa jiwe nne kwa mwez lakin mbona watu awakuongelei ndugu????,alafu siyo lazima kuandika kiswanglish maana naona kina kupa shida sana haaa,ww ndo unawadharau diamond na wakati anaweza akawalisha wote kwenu mpaka ukoo wako wote na mkawa mnakula mpaka mnasaza haaaa kwa kazi yake iyo iyo ya kukata viuno,ilo nalo ulioni
Alisha wahi kukulisha ww na demu wako nn ??
Ndo unavyo jidanganya aliwahi kulisha kwenu nn??
Haaaaaa get out of ma sight u négative man,ujui hata unachokiongea na inaonekana umekulia njaa ww
Mtt wa mitaani chokolaa mkubwa ww
Mbuguni na ww unasifia ufala??
Kukomaa kukata kiuno au kukomaa kivingine??
Anyway nabishana na watu wasio jisoma ndo maan tunashindwa kuelewana
The so called diamond has got nothing to do with me hata hizo tuzo sijui zikoje na kazipata how tatizo taifa likitegemea wehu wote huwa wehu
u got nothing to do with him afu wamuanzisha sred kumjadili tukueleweje sasa?
Sred ndo nn??
Kumjadili kivipi??
Wewe unafatilia ya nani??
Nafatila yako
Too low to judge! Una-diss kufuatilia mambo ya ndomo wakati kwenye huu uzi zimejaa post zako!Hii mida ya kazi kama ww ndo umetoka kukata viuno km kina ndomo ndole ngoja nikafanye kazi na mm
Fuatilia mambo yako na ya ndomo yangu huyawezi