omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Hata kama hanakata viuno ww inakuhuma nini???au kwasababu haujawai kumpa hata mkono rais ???ww mbona kaz yako kama mwanamke ya kulipwa jiwe nne kwa mwez mbona watu awakuongelei ndugu??acha chuki binafsi
Kumpa mkono raisi ndo nn?? Kweli ww kiazi nyie ndo nnao walenga mazombi utabaki kushabikia wengine wkt ukiendele Kusaga na rumba
Eti kumpa mkono raisi MPE ww kota