Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

Hata kama hanakata viuno ww inakuhuma nini???au kwasababu haujawai kumpa hata mkono rais ???ww mbona kaz yako kama mwanamke ya kulipwa jiwe nne kwa mwez mbona watu awakuongelei ndugu??acha chuki binafsi

Kumpa mkono raisi ndo nn?? Kweli ww kiazi nyie ndo nnao walenga mazombi utabaki kushabikia wengine wkt ukiendele Kusaga na rumba

Eti kumpa mkono raisi MPE ww kota
 
Kumpa mkono raisi ndo nn?? Kweli ww kiazi nyie ndo nnao walenga mazombi utabaki kushabikia wengine wkt ukiendele Kusaga na rumba

Eti kumpa mkono raisi MPE ww kota

Ww una chuki binafsi kwa sababu haujawai hata kupata nafasi ya kuongea na rais ndugu na ujue diamond anaweza akawalisha wote katika familia yenu na ukoo wenu pia Kwa île kaz ya kukata viuno haaaaa
 
Kumpa mkono raisi ndo nn?? Kweli ww kiazi nyie ndo nnao walenga mazombi utabaki kushabikia wengine wkt ukiendele Kusaga na rumba

Eti kumpa mkono raisi MPE ww kota

Na uache kuzarau wanawake umuhimu na kazi za wanawake unazijua?? Si ndo ww na the so called diamond mnaingilia kazi zao
 
Na uache kuzarau wanawake umuhimu na kazi za wanawake unazijua?? Si ndo ww na the so called diamond mnaingilia kazi zao

Me nimekwambia ww kaz yako unayofanya ni kama kaz zile za wanawake za kulipwa jiwe nne kwa mwez lakin mbona watu awakuongelei ndugu????,alafu siyo lazima kuandika kiswanglish maana naona kina kupa shida sana haaa,ww ndo unawadharau diamond na wakati anaweza akawalisha wote kwenu mpaka ukoo wako wote na mkawa mnakula mpaka mnasaza haaaa kwa kazi yake iyo iyo ya kukata viuno,ilo nalo ulioni
 
Ww una chuki binafsi kwa sababu haujawai hata kupata nafasi ya kuongea na rais ndugu na ujue diamond anaweza akawalisha wote katika familia yenu na ukoo wenu pia Kwa île kaz ya kukata viuno haaaaa

Ndo unavyo jidanganya aliwahi kulisha kwenu nn??
 
Mimi siwezi kuwa zombie kama ww sishabikii ujinga

Me siyo mshabiki wa diamond lakin hapa ww hutaki kukubali ukweli ndugu,ilo nalo tatizo maana hata hueshimu kaz yake na wakati ww hauna hata cha kujifananisha naye haaa,mnakuwa na chuki binafsi na ndo mana hamuendelei maana u are so négative
 
Me nimekwambia ww kaz yako unayofanya ni kama kaz zile za wanawake za kulipwa jiwe nne kwa mwez lakin mbona watu awakuongelei ndugu????,alafu siyo lazima kuandika kiswanglish maana naona kina kupa shida sana haaa,ww ndo unawadharau diamond na wakati anaweza akawalisha wote kwenu mpaka ukoo wako wote na mkawa mnakula mpaka mnasaza haaaa kwa kazi yake iyo iyo ya kukata viuno,ilo nalo ulioni
Alisha wahi kukulisha ww na demu wako nn ??
 
Haaaaaa get out of ma sight u négative man,ujui hata unachokiongea na inaonekana umekulia njaa ww

Wewe ndo hujui unacho ongea uji elewi ht uko wp negative man ndo Mimi kwa malofa km ww na huyo ndomo wako uwezi kunilazimisha nishabikie malofa get lost mayo de puta
 
Mbuguni na ww unasifia ufala??

Kukomaa kukata kiuno au kukomaa kivingine??

Anyway nabishana na watu wasio jisoma ndo maan tunashindwa kuelewana

The so called diamond has got nothing to do with me hata hizo tuzo sijui zikoje na kazipata how tatizo taifa likitegemea wehu wote huwa wehu

u got nothing to do with him afu wamuanzisha sred kumjadili tukueleweje sasa?
 
Hii mida ya kazi kama ww ndo umetoka kukata viuno km kina ndomo ndole ngoja nikafanye kazi na mm

Fuatilia mambo yako na ya ndomo yangu huyawezi
Too low to judge! Una-diss kufuatilia mambo ya ndomo wakati kwenye huu uzi zimejaa post zako!
 
Back
Top Bottom