Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

Dah londo imekuuma sana mkuu, ile ni kuinspire wengne wakaze, ulitaka waende walasembe???, kijana anapga kaz analeta sifa kwa Taifa, au ulitaka alete makontena yahela ndo ujue anaipa sifa Tz??? Komaa joh acha majungu.....
 
Prezidaa atashirikishwa kwenye remix wimbo uliopita
 
Dah londo imekuuma sana mkuu, ile ni kuinspire wengne wakaze, ulitaka waende walasembe???, kijana anapga kaz analeta sifa kwa Taifa, au ulitaka alete makontena yahela ndo ujue anaipa sifa Tz??? Komaa joh acha majungu.....

Mbuguni na ww unasifia ufala??

Kukomaa kukata kiuno au kukomaa kivingine??

Anyway nabishana na watu wasio jisoma ndo maan tunashindwa kuelewana

The so called diamond has got nothing to do with me hata hizo tuzo sijui zikoje na kazipata how tatizo taifa likitegemea wehu wote huwa wehu
 
Atakuwa anaenda kupumuliwa kisogoni na mzee wa kaya....si unamjua mzee wa tezi dume kwa kupenda chini...!
 
Ni dhana potofu tu,kwa mtazamo wako ulitaka aende msanii gani ambae ana heshma kwa jamii kutokana na kuiletea sifa nchi hii?
 
Huyo dimond anajituma kwa lipi??? Anaingizia nchi pato gani mi naona huwa washabiki wake asilimia 90 ni wajinga
Jiulize maswali hayo ongeza na mengine haubadilishi kitu ameshawahi kwenda na anaenda na ataendelea kwenda, vip unataka kukaa getini kumzuia ili chuki yako ipate nafuu??????????? washabiki wake ni wajinga, ila wewe unayetuonesha unachuki nae ndo umeelimika ???
 
Hahahaaa, Lukelo utaua watu kwa presha ujue.Wewe tulia tu lakini mbona sisi tunajua michezo yake hiyo kitambo? Basi tu tunazipenda kucha zetu.

Mhhhhhh habari za kijiweni
 
Last edited by a moderator:
Mbuguni na ww unasifia ufala??

Kukomaa kukata kiuno au kukomaa kivingine??

Anyway nabishana na watu wasio jisoma ndo maan tunashindwa kuelewana

The so called diamond has got nothing to do with me hata hizo tuzo sijui zikoje na kazipata how tatizo taifa likitegemea wehu wote huwa wehu

Hata kama hanakata viuno ww inakuhuma nini???au kwasababu haujawai kumpa hata mkono rais ???ww mbona kaz yako kama mwanamke ya kulipwa jiwe nne kwa mwez mbona watu awakuongelei ndugu??acha chuki binafsi
 
Back
Top Bottom