IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,915
- 5,233
Tuzo zipi?? Tuzo unazila?? Za kukata viuno zina tija gani?? Kwako na kwa familia yako?? Acha kuendekeza wehu
Diamond kipenzi cha watafutaji adui wa jobless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo zipi?? Tuzo unazila?? Za kukata viuno zina tija gani?? Kwako na kwa familia yako?? Acha kuendekeza wehu
anavijua rais ndo mana anamwitaKwa lipi?? Ndugu yangu vitu vyenye tija unavijua wewe???
Dah londo imekuuma sana mkuu, ile ni kuinspire wengne wakaze, ulitaka waende walasembe???, kijana anapga kaz analeta sifa kwa Taifa, au ulitaka alete makontena yahela ndo ujue anaipa sifa Tz??? Komaa joh acha majungu.....
anavijua rais ndo mana anamwita
Huyo dimond anajituma kwa lipi??? Anaingizia nchi pato gani mi naona huwa washabiki wake asilimia 90 ni wajinga
Jiulize maswali hayo ongeza na mengine haubadilishi kitu ameshawahi kwenda na anaenda na ataendelea kwenda, vip unataka kukaa getini kumzuia ili chuki yako ipate nafuu??????????? washabiki wake ni wajinga, ila wewe unayetuonesha unachuki nae ndo umeelimika ???Huyo dimond anajituma kwa lipi??? Anaingizia nchi pato gani mi naona huwa washabiki wake asilimia 90 ni wajinga
Unanyota ya punda nn mbna unamchukia sana uyu dogoSasa kama anavijua wewe unavitetea nn kama uvijui?? Njoo na point sio unakuja kutetea .......
Huyo dimond anajituma kwa lipi??? Anaingizia nchi pato gani mi naona huwa washabiki wake asilimia 90 ni wajinga
Hahahaaa, Lukelo utaua watu kwa presha ujue.Wewe tulia tu lakini mbona sisi tunajua michezo yake hiyo kitambo? Basi tu tunazipenda kucha zetu.
kuna ubaya kwan kuongea na rais mwenzie
Huyo dimond anajituma kwa lipi??? Anaingizia nchi pato gani mi naona huwa washabiki wake asilimia 90 ni wajinga
Tuzo zipi?? Tuzo unazila?? Za kukata viuno zina tija gani?? Kwako na kwa familia yako?? Acha kuendekeza wehu
Mbuguni na ww unasifia ufala??
Kukomaa kukata kiuno au kukomaa kivingine??
Anyway nabishana na watu wasio jisoma ndo maan tunashindwa kuelewana
The so called diamond has got nothing to do with me hata hizo tuzo sijui zikoje na kazipata how tatizo taifa likitegemea wehu wote huwa wehu