Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

Only in tanzania yetu. Tumezidi ujinga na kushabikia upumbavu. Ukitaka kukua ujinga wa watz angalia raisi waliomchagua.ptuuu!!!
 
Hiyo kesi natamani niwe wakili wake swali moja tu la msingi je amevaa nguo za JWTZ au zinazofanana na za JWTZ ?

yote ni makosa tu mkuu, ulisoma tamko la JWTZ??
 
yote ni makosa tu mkuu, ulisoma tamko la JWTZ??

Siku soma aisee, tamko la JWTZ sio sheria..kwaio wanaposema wanampeleka mahakamani mtu anahukumiwa kwa kutumia sheria sio tamko...
 

kuna watu ni wanafiki humu ndani duuh.
 
kuna watu ni wanafiki humu ndani duuh.

We ndo mnafiki uliye kubuhu nitolee naniliu sasa ana tofauti gani na aliye ogoshwa na yeye achukuliwe hatua ukichangia yeye ni.kioo cha jamii na kuna wengi watamuiga uwe unatumia akili ukome kuniita mnafiki nitolee nani zilizo sinyaa hapa mfuuuuiiuuuuxieww
 
Wewe si ulikua unamtetea yule mwingine aliyeoga pale k/koo?

Hivi ulielewa nilichokua natetea au unaandika tu na wewe uonekane ume comment what i mean ni sheria gani iliyo mpa mamlaka mwanajeshi kutoa adhabu badala ya vyombo husika yoyote anaye pelekwa kuna husika napongeza sio kujichukulia sheria mkononi uwe una elewa kabla ya ku jaji kitu
 
Siku soma aisee, tamko la JWTZ sio sheria..kwaio wanaposema wanampeleka mahakamani mtu anahukumiwa kwa kutumia sheria sio tamko...

tamko lao lililenga kuonya jamii kuwa ni kinyume cha sheria kukutwa au kuvaa sare za jeshi. Ishu kama ni zenyewe au zinafanana ni suala la kisheria zaidi kama ulivyohoji, ila cha moto unakuwa umeishakipata tayari - usumbufu wa hapa na pale, psychological torture etc
 
na mimi nakaboxer kangu kamadoa ya kijeshi!" pia nikikatinga ni kosa?!" ...........

Grand PA
 

ha ha ha ha "mwana daresalama" umepanic.
 
Tetesi zinasea jamaa ypo makao makuu now
source jamaa yangu hapo lugalo
 
1. Wanapatia wapi mavazi ya jeshi?? Nani anawapa,??

Deal na anaowapa hao wasanii.
 
Hiyo kesi natamani niwe wakili wake swali moja tu la msingi je amevaa nguo za JWTZ au zinazofanana na za JWTZ ?

ww akili yako cio nzuri soma hiyo sheria hapo juu vizuri. vazi liwe au lisiwe la JWTZ ila lina mfanano wowote tayari ni kosa. we kawe wakili mirembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…