Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

Tuache double standard,tuanze na hawa magaidi kabla ya hawa wasanii.
Ukiangalia utaona wamevaa kombati na kofia za jeshi la China.

ACHA KASHFA KWA RAISI AJAE... muheshmiwa rais pendekezi alitokelezea
 
Hii nchi hua tunaweza kudeal na vitu vyepes kama hiviiii
 
Unaoneka ni fundi sana wa maneno ila kichwani ni box,fun enough ni jinsi unavyo komalia domo na kiba as if u r a f@kin street whor.e who is stressed na some kind of........afterall ni ustupi.d kubishana na mgonjwa kama wewe,una jiita beyonce kumbe ni kichaa wa vingunguti......soma mama wazazi wana kutegemea.HAYA UMESHINDA.jioni njema.

Ha ha ha ha ni fundi kweli wa maneno lakini kamwe usinitukane na kuni tusi kisa uliumizwa na mashabiki wa fiesta kuja kuni malizia hasira zako na stress kwangu na akili sana hilo utambue sio kilaza kama wewe na shule nimeenda nimemaliza huo u first kama ni wako unauota nani kakomalia hayo mambo ka si wewe uliye panic na kuingiza mambo ya Kiba kwanza mgonwa ni wewwe uliye toka Mirembe uka dandia train kwa mbele. Pole yako kwakukulia uswahili usifikirie wote tumekulia huko yan am really Diva mwenye viwango vyote na nimekamilika kila idara mpaka shule unasikia wewe usiye na haya pole yako eeh na unjuka wako wa first year@chingaone
 
ACHA KASHFA KWA RAISI AJAE... muheshmiwa rais pendekezi alitokelezea

Pamoja na kwamba JK ni mjeda lakini sijamuona akizichezea sare za jeshi,huyo mburura ameenda jkt kucheza kwata wiki 6 basi kaona tayari imetosha.
 
Ha ha ha ha ni fundi kweli wa maneno lakini kamwe usinitukane na kuni tusi kisa uliumizwa na mashabiki wa fiesta kuja kuni malizia hasira zako na stress kwangu na akili sana hilo utambue sio kilaza kama wewe na shule nimeenda nimemaliza huo u first kama ni wako unauota nani kakomalia hayo mambo ka si wewe uliye panic na kuingiza mambo ya Kiba kwanza mgonwa ni wewwe uliye toka Mirembe uka dandia train kwa mbele. Pole yako kwakukulia uswahili usifikirie wote tumekulia huko yan am really Diva mwenye viwango vyote na nimekamilika kila idara mpaka shule unasikia wewe usiye na haya pole yako eeh na unjuka wako wa first year@chingaone

Teh teh teh real Diva Beyonce alie kamilika kila idara teh teh teh we mshindi bwana naona umepanic ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
hivi kwanini sisi raia tunazpenda +sana cloths za jeshi au ndo zna hit sana
 
nlikua napitaaaa nkakutana na hili la dangote pole yake ila anahitaji mshauri........na adhabu ilompata juzi ni shigdi SHEEEEEDAH aende tu akaripoti
 
Naona HATERS chu*pi zimewabana baada ya Clouds kutangaza kwamba Diamond alipiga gwanda baada ya kupata kibali kutoka jeshini!!!!! Huyo mwandishi mwenyewe nae mkurupukaji tu... GK alipiga gwanda kwenye Ama Zangu Ama Zao mwandishi anasema kwenye Simba wa Afrika!!
 
sidhani kma atafikishwa mahakamani nchi hii ukiwa na mkwanja waweza kuvunja sheria na usipelekwe popote pale maana hiyo kesi itaanza kupelelezwa mpaka miaka hata mitano
 
Kwa vazi hilo ni lazina angezomewa tu maaba mindset za watu na hawa walinda amani wetu ni negative sana.
 
Diamond alikuwa na kibali cha kutumia nguo za jeshi la wananchi kwenye show yake na alipewa toka alhamisi!

Mkuu vp ikitokea wananchi wote tuombe vibali??

Pili kamanda anaehusika kakanusha na hakujua kama diamond atatumia gwanda za jeshi
 
Jeshi la Wananchi Tanzania limesema litafanya uchunguzi kwa Mwanamuziki Diamond baada ya kuvaa sare zinazoaminika kuwa ni za Jeshi hilo na kwamba ikibainika atapewa adhabu kali

source: Mtanzania 21/10/2014
 
images (3).jpg
 
Back
Top Bottom