sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.
Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa.
Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi?
Watanzania tuwe watulivu tusubiri nini anatuletea supastaa wetu wa Africa