Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Diddy alimuahidi kuja kuwa tajiri namba uno duniani....?View attachment 3102243
Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.
Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa.
Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi?
Watanzania tuwe watulivu tusubiri nini anatuletea supastaa wetu wa Africa
Nimewaza tu, hiyo question mark kaiweka cocastic 🤣 aunasema uongo Depal?