Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

Screenshot_20240921_091028_X.jpg
 
View attachment 3102243

Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.

Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa.

Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi?
Watanzania tuwe watulivu tusubiri nini anatuletea supastaa wetu wa Africa
Okay
 
Aanze kuisimamisha kwanza Tandale ndipo aje kata,tarafa,kitongoji,wilaya,mkoa kisha nchi...aanze kwa step.
 
View attachment 3102243

Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.

Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa.

Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi?
Watanzania tuwe watulivu tusubiri nini anatuletea supastaa wetu wa Africa
Mwana anapotea
 
Cc. Sinza all ⭐
 
Back
Top Bottom