Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.

Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa.

Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi?
Watanzania tuwe watulivu tusubiri nini anatuletea supastaa wetu wa Africa
 
Basi ungeiweka vizuri kwamba atasimamisha shughuli za redio atakapokuwa anazindua wimbo wake, lakini siyo kusimamisha nchi.
Diamond siku zote anasimamisha nchi anafunika kila kitu ukiweka pua yako mbele yake
 
 

Attachments

  • 20240921_183608.jpg
    84.5 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…