Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Habari wakuu.
Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo.
Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani kwakuwa hadi Rais wa Kenya William Ruto alihudhuria harusi hiyo.
Yangu ni hayo tu wakuu.