Diamond Platnumz kulipwa BIL 2.3 kutumbuiza katika harusi ya kifahari Mombasa Kenya

Diamond Platnumz kulipwa BIL 2.3 kutumbuiza katika harusi ya kifahari Mombasa Kenya

Nakumbuka mwaka juzi Chris brown alienda kupeform Nairobi na akalipwa milion mia tisa kwenye ile show iliyohudhuriwa na maelf ya watazamaji

Kama diamond kalipwa kias cha pesa hiyo uliyotaja kwa show moja ya harusi bas kweli atakuja kuwa tajiri namba moja dunian

Asante
Dollar bilioni moja ina bilioni elfu moja mia mbili thelathini na tisa za kitanzania. Sasa hivi Elon Musk ana utajiri wa dollar bilioni 500 mkuu. Kumbuka hiyo ela aliyolipwa ni sawa na kama dollar laki tisa.
Inabidi kuwa una kampuni kubwa kuweza kuwa tajiri wa kwanza duniani na kwa sasa nadhani sehemu pekee inaweza kukufanay uwe hivyo ni makampuni ya teknolojia ndiyo ambayo shares zake zina ruka kama rocket.
 
Sijafuatilia hii habari, ngoja niwaambie kitu ule ukanda wa pwani kuanzia Mombasa unakuja Hadi Tanga unashuka Hadi dar, wapo watu wana pesa sanaaa halafu hawana kelele utakuta tu mwarabu, mgunya, burushi ama msomali mmoja hivi kapiga kibarakishia chake na kavaa casual tu huwezi mjua kirahisi, then wengi pande hizo ni ndugu.
 
Wameongeza sifuri bro hujamzoea huyo jamaa. Na hizi mambo za kuongeza sifuri zinamsaidia sana kujibrand.
Sasa Kama anaongeza sifuri unadhani hela ya kununua magari ya kifahari Kama Roll royce ambayo thamani yake Ni zaidi ya billion 1.5, Cadillac na magari mengine ya kifahari pamoja na uwekazaji anaoufanya hela anapata wapi?
 
Jumlisha pesa za vitega uchumi vyake vyote baada ya makusanyo ndo ananunua hizo vitu, Ila kijikisherehe tu atumbue bilioni. Hapana!
 
Habari wakuu.

Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo.

Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani kwakuwa hadi Rais wa Kenya William Ruto alihudhuria harusi hiyo.

Yangu ni hayo tu wakuu.

View attachment 3181900
Biliono 2.3 za Zimbabwe😅😅
 
Ndio habari inayo trend Kenya huko halafu kwa nn isiwezekane, kuna watu wana hela hilo bil 3 kwao ni sawa na kupunguza kikombe cha maji baharini.
Kwa maoni yangu binafsi Billion 2.3 ni pesa nyingi saana mzee....tena tunazungumzia cash.

Wasanii wananamna zao ya kukuza mambo maana inawasaidia kwenye umaarufu. Sidhani kama kuna mfanyabiashara ambaye hata sio bilionea atatoa dolla million 1.
 
Ukweli ni upi?Hii habari imetrend sana Kenya, okay nipe ukweli wako.
 
Ukweli ni upi?Hii habari imetrend sana Kenya, okay nipe ukweli wako.
Have no idea... wote tunatoa maoni tu .
Ninachojua kuhusu wasanii tu kuonekana wanapesa ni sehemu ya biashara zao.

Kama nitatangaza show nacharge USD50000 ni strategy ya yeyote atakayenibook asianzie chini. Diamond anaongoza kwa East Africa kulipwa pesa nyingi ila sijashawishika tumefikia sehemu ya wasanii kulipwa million zaidi ya 1000. Kuna matajiri wengi saana ambao hawana cash 2.5 billion. Hata ambao unaona wanafanya vizuri...
 
Kwa maoni yangu binafsi Billion 2.3 ni pesa nyingi saana mzee....tena tunazungumzia cash.

Wasanii wananamna zao ya kukuza mambo maana inawasaidia kwenye umaarufu. Sidhani kama kuna mfanyabiashara ambaye hata sio bilionea atatoa dolla million 1.
Kwani wasanii walioperform katika harusi yaakina Mukesh Ambani huko India walilipwa dola ngapi?
 
Back
Top Bottom