joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sasa why unaamini ya Rema unakataa ya Diamond maana source zote ni Mitandao, hamna verified document inayo onesha Rema kalipwa USD 3m.Kwa taarifa kama hizi za mitandao Rema alilipwa dola million 3.
Ambani anautajiri wa dolla billion 95.
Maana mimi nimesema source ni mtandao ukasema wasanii wanakuza,ila kwa Rema ambaye source ni mitandao hii unaona hajakuza.Kwa maoni yangu binafsi Billion 2.3 ni pesa nyingi saana mzee....tena tunazungumzia cash.
Wasanii wananamna zao ya kukuza mambo maana inawasaidia kwenye umaarufu. Sidhani kama kuna mfanyabiashara ambaye hata sio bilionea atatoa dolla million 1.
Kumbuka Africa kuna watu wana utajiri wa maghumashi wengi,wapo kimya tena kama Kenya ni nchi yenye ufisadi uliokithiri,mfano tunasema Mo na Bakheresa wanahela,ila kuna watu wanahela kuliko hao wakina Bakheresa na Mo.
Mimi si shangai Mondi kukunja USD 1m ,juzi katoka kumuamisha mtu Mbezi Beach na nyumba aliyo ikuta kavunja yote anasimamisha nyumba yake na tena eneo kubwa (hii habari ipo sns na video wameweka na lile bango la kuonesha mmiliki,kampuni na mchoraji anayejenga wameweka),hiki kiburi na jeuri huwezi kukifanya kwa maeneo ya Mbezi beach kama hauna fedha.