Unatudanganya umetuona sisi ni mabektatu. Alafu huna habari kamili...Habari wakuu.
Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo.
Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani. Kwakuwa hasi rais wa Kenya Mh
William Ruto alihudhuria harusi hiyo.
Yangu ni hayo tu wakuu.
Wiki mbili zilizopita alilipwa million 400 kwenye ile show ya Kenya ambayo hakupanda kutumbuiza,wiki iliyofuatia akawa na show utoaji wa tuzo za CAF Morocco sijui alilipwa sh ngapi,ila i hope ni nyingi..Huyu kijana ndani ya mwezi huu kaingiza si chini ya billion 3 za show.Kweli anamaanisha anavyosema atakuwa tajiri namba mojaNakumbuka mwaka juzi Chris brown alienda kupeform Nairobi na akalipwa milion mia tisa kwenye ile show iliyohudhuriwa na maelf ya watazamaji
Kama diamond kalipwa kias cha pesa hiyo uliyotaja kwa show moja ya harusi bas kweli atakuja kuwa tajiri namba moja dunian
Asante
Na wewe una Amini kabisa atapewa 2.3Bil?alafu Nandy 0.8bil?Nandy 800+m,Chibu 2.3bil kudadadeki watu wana hela.Sijui willy poker atakuwa na hali gani.
Ndio habari inayo trend Kenya huko halafu kwa nn isiwezekane, kuna watu wana hela hilo bil 3 kwao ni sawa na kupunguza kikombe cha maji baharini.Na wewe una Amini kabisa atapewa 2.3Bil?alafu Nandy 0.8bil?
Hela watapewa kweli na nyingi ki wastani wa hela ya Mtanzania ila Hizo namba walizotaja hata robo yake unaweza kuta hawazipati..
Ushamsagia kunguni mwana
ila shetani ana nguvu
Nakumbuka mwaka juzi Chris brown alienda kupeform Nairobi na akalipwa milion mia tisa kwenye ile show iliyohudhuriwa na maelf ya watazamaji
Kama diamond kalipwa kias cha pesa hiyo uliyotaja kwa show moja ya harusi bas kweli atakuja kuwa tajiri namba moja dunian
Asante