Yo majesty
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 687
- 1,179
Hakika mkuu b tunaiona kubwa but kuna watu wanaiona kama 10000 tuNdio habari inayo trend Kenya huko halafu kwa nn isiwezekane, kuna watu wana hela hilo bil 3 kwao ni sawa na kupunguza kikombe cha maji baharini.
Dollar bilioni moja ina bilioni elfu moja mia mbili thelathini na tisa za kitanzania. Sasa hivi Elon Musk ana utajiri wa dollar bilioni 500 mkuu. Kumbuka hiyo ela aliyolipwa ni sawa na kama dollar laki tisa.Nakumbuka mwaka juzi Chris brown alienda kupeform Nairobi na akalipwa milion mia tisa kwenye ile show iliyohudhuriwa na maelf ya watazamaji
Kama diamond kalipwa kias cha pesa hiyo uliyotaja kwa show moja ya harusi bas kweli atakuja kuwa tajiri namba moja dunian
Asante
Anavyonunua Roll Royce au anavyofanya uwekezaji unadhani hela anapatiaga wapi?Bil 2.3 unaijua wewe? 😁
Sasa Kama anaongeza sifuri unadhani hela ya kununua magari ya kifahari Kama Roll royce ambayo thamani yake Ni zaidi ya billion 1.5, Cadillac na magari mengine ya kifahari pamoja na uwekazaji anaoufanya hela anapata wapi?Wameongeza sifuri bro hujamzoea huyo jamaa. Na hizi mambo za kuongeza sifuri zinamsaidia sana kujibrand.
Hayo ni mapato ya nje ya nchi anakatwa kodi kenya huwezi mkata kodi tena Tanzania. DOUBKE TAXATION HAIRUHUSIWI
Sasa Kama anaongeza sifuri unadhani hela ya kununua magari ya kifahari Kama Roll royce ambayo thamani yake Ni zaidi ya billion 1.5, Cadillac na magari mengine ya kifahari pamoja na uwekazaji anaoufanya hela anapata wapi?
Hivi ukiwa na hela nyingi unatoa_toa TU, au sio!? Wewe unaweza!?Ndio habari inayo trend Kenya huko halafu kwa nn isiwezekane, kuna watu wana hela hilo bil 3 kwao ni sawa na kupunguza kikombe cha maji baharini.
Ni kweli nimeona TRA ya Kenya imelizungumzia hili suala walifanya interview na sauti na simuliziJumlisha pesa za vitega uchumi vyake vyote baada ya makusanyo ndo ananunua hizo vitu, Ila kijikisherehe tu atumbue bilioni. Hapana!
Unaniuliza mimi au aliye toa kwa ajili ya furaha ya mwanawe? Ila ndio kishatoa, huwezi jua hiyo memory ya ndoa kwake na familia yake ina maana gani na ukizingatia hela anazo acha atumie tu.Hivi ukiwa na hela nyingi unatoa_toa TU, au sio!? Wewe unaweza!?
Biliono 2.3 za Zimbabwe😅😅Habari wakuu.
Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo.
Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani kwakuwa hadi Rais wa Kenya William Ruto alihudhuria harusi hiyo.
Yangu ni hayo tu wakuu.
View attachment 3181900
Wasanij woote wanaishi maisha ya kisanii( fake). Msubiri aumwe sasa ndio utajua.Wameongeza sifuri bro hujamzoea huyo jamaa. Na hizi mambo za kuongeza sifuri zinamsaidia sana kujibrand.
Unamanisha Issue ya Didi imejibu?🤣🤣Dark path is always right path to rich and wealthy life.
Kalahabaho!
WAkenya wanashangaa kama ambavyo na sisi tunashanga......huu sio usanii wa kutaka kupambana na Willy??🤣🤣Mkuu hii story imepewa headlines sana huko Kenya kuliko hapa Tanzania ndo maana hamuamini.
Kwa maoni yangu binafsi Billion 2.3 ni pesa nyingi saana mzee....tena tunazungumzia cash.Ndio habari inayo trend Kenya huko halafu kwa nn isiwezekane, kuna watu wana hela hilo bil 3 kwao ni sawa na kupunguza kikombe cha maji baharini.
Ukweli ni upi?Hii habari imetrend sana Kenya, okay nipe ukweli wako.Kwa maoni yangu binafsi Billion 2.3 ni pesa nyingi saana mzee....tena tunazungumzia cash.
Wasanii wananamna zao ya kukuza mambo maana inawasaidia kwenye umaarufu. Sidhani kama kuna mfanyabiashara ambaye hata sio bilionea atatoa dolla million 1.
Have no idea... wote tunatoa maoni tu .Ukweli ni upi?Hii habari imetrend sana Kenya, okay nipe ukweli wako.
Kwani wasanii walioperform katika harusi yaakina Mukesh Ambani huko India walilipwa dola ngapi?Kwa maoni yangu binafsi Billion 2.3 ni pesa nyingi saana mzee....tena tunazungumzia cash.
Wasanii wananamna zao ya kukuza mambo maana inawasaidia kwenye umaarufu. Sidhani kama kuna mfanyabiashara ambaye hata sio bilionea atatoa dolla million 1.
Kwa taarifa kama hizi za mitandao Rema alilipwa dola million 3.Kwani wasanii walioperform katika harusi yaakina Mukesh Ambani huko India walilipwa dola ngapi?