Diamond Platnumz Kununua Viewers na Followers

Yote in roho mbaya ya mafanikio ya platinum jitumeni kama yeye mtafanikiwa tu
 
Bongo ata ukicheza kwenye maji walo na husuda na unafiki na roho za choyo watasema wawatimulia VUMBI
 
Basi jamaa ana mihela kama ndio ivyo. Kwa masikini huwezi kununua. Bora tu na wengine wapate pesa kupitia njia hiyo. Big up bro Dangote
 
Ivi unajua mastaa wa tz ndo wanaogoza kuwa na followers weng in general wabongo weng wanatumia izo social networks msaan toka nigeria au south hanaweza akawa ana jina ila insta a.c yke unakuta hata 1m followers hajafika
 
Kwanza huyo dayamondi ni nani??? Na akinunua hao viewers atapata pesa???
 
Acha kumfananisha diamond na kitu cha ajabu..na pia tupunguze chuki na tupende vitu vizur na co vitu vya ajabu .tena hao viewers na followers ni wachache sana kulinganisha na uwezo wake maana anastahili zaidi ya hapo
 
hao followera wanauzwa wapi nami nika nunue
 
Shda vijana tunakua na chiki za maendeleo wenyewe kwa wenyewe, yaaan mtu akipga hatua unataka mvuta shati...
Grow up dude...
Fanya yako.
Nukta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…