talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
basi hii itamfaa Kingwendu ili awe na viewers 10milingia hapa kujua namna ya kununua Youtube viewers, FB likes, insta & twitter follower www.rantic.com .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi hii itamfaa Kingwendu ili awe na viewers 10milingia hapa kujua namna ya kununua Youtube viewers, FB likes, insta & twitter follower www.rantic.com .
Ni pesa yako tu..basi hii itamfaa Kingwendu ili awe na viewers 10mil
Kuna aina nyingi za ban hii ni moja wapoDuh...!!! Roho mbaya hizi zingine
Umeona eh...???Kuna aina nyingi za ban hii ni moja wapo
Yaah! maana hakuna namna bora nyingine tunazigundua mapema.Umeona eh...???
Ivi unajua mastaa wa tz ndo wanaogoza kuwa na followers weng in general wabongo weng wanatumia izo social networks msaan toka nigeria au south hanaweza akawa ana jina ila insta a.c yke unakuta hata 1m followers hajafikaNitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi.
Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIAMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.
Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandaoView attachment 371873