Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sio tuzo tena? Saizi imekuwa connectionDiamond ameenda kuongeza connections.. usishangae wimbo unakuja amemshirikisha msanii mkubwa waliekutana kwenye tuzo
Sio tuzo tena?Diamond ameenda kuongeza connections.. usishangae wimbo unakuja amemshirikisha msanii mkubwa waliekutana kwenye tuzo
Thubutuuu....😂😂Diamond ameenda kuongeza connections.. usishangae wimbo unakuja amemshirikisha msanii mkubwa waliekutana kwenye tuzo
Chawa wa domokaya wamedata na hawaelewi, tuwasamehe tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio tuzo tena?
Saizi imekuwa connection
Labda connection ya WI-FIDiamond ameenda kuongeza connections.. usishangae wimbo unakuja amemshirikisha msanii mkubwa waliekutana kwenye tuzo
Connection gani?!!kwani mbona hii ni awamu ya tatu kushiriki kwenye tuzo hizo?!!Diamond ameenda kuongeza connections.. usishangae wimbo unakuja amemshirikisha msanii mkubwa waliekutana kwenye tuzo
Nyimbo zenyewe matusi sijui kwa mpalange inama niteleze kama nyoka pangoniDiamond ameenda kuongeza connections.. usishangae wimbo unakuja amemshirikisha msanii mkubwa waliekutana kwenye tuzo
Kama unaelewa maana yakushndana wala hupaswa kuongea ulicho ongeaSio tuzo tena?
Saizi imekuwa connection
Tanzania ndio nchi pekee ukivuka malengo ,basi umeongeza chuki,fitina na kejeli.
Ndio maana watu wavisiwani hawa taki muungano na watz
Naona alienda kufanya onesho la nguo za asili za moja ya makabila ya hapa Tanzania.Habari wakuu
Hivi diamond aliwaza nini kwenda huko USA,inamaana aliamini kelele za kina baba levo zingeweza kumpa BET kweli?
Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai ,aliyemshauri kamponza kweli ,hazijamtoa hata kidogo ..
ile ngao sijui aliwaza nini wadau ,nilibaki nimeduwa ...
Mbona wizikid alichill geto tu ,kwan alijua kabisa hawezi kupata ,hakuona umuhimu wa kwenda huko ...
Hongera sana simba ,ila pole sana kwan umekula za uso mbele ya burna boy ,cha mhimu fanya mpango ukawatongoze wale madem waliomtangaza jamaa uwape mimba tu kama kulipa kisasi ..
Uzi tayar