[emoji444]
Yooh
Sikiliza napirisent, Wasafi porodaction
Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama jogoo wa rukeli keli [emoji444]
Nimtume nani kule kwetu madale, [emoji445]
Aende salima kule kwa mama totoo,
Mwambie huku BET ukumbini AC ni kali,
Na mimi nimefaa mgolori na nina sime kali.
Mimi mpaka sasa bado kamata Tuso,
Sipati hata salamu na picha na mastaa nimekosa,
Yani nimefaa kimasai lakini heshima mekosa,
Sana-sana wasungu wanacheka wanasema nimfaa uchi,[emoji445]
[emoji445] Mi mmasai bwana nasema mi masai
Ni kitu najivunia masai fahari yangu
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Nadumisha mila ile wengine ishashindwa
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Tamaduni yenye nguvu ilobaki afrika[emoji445]
Lyrics by:
Numbisa
Edit by :
Kigoma Independent