Diamond Platnumz kwanini ulikwenda wakati unajua kabisa hupati Tuzo, Wizikid mbona katulia zake gheto?

Kutajwa kwenye tuzo maana yake wewe ni bora, kwa hiyo Diamond kuwepo kunampa mileage zaidi kisanaa.
 
Habari wakuu

Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa.

Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko.

Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy.

Kapendeza lakini
 
Hii ngao hata Mbwa wa mama Said huwez kumzuia nayo hahahahaa
 
Back
Top Bottom