mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Km nawaona,Naona alienda kufanya onesho la nguo za asili za moja ya makabila ya hapa Tanzania.
Habari wakuu
Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwa.
Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko
Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy
Nacheka hapo linavoshangaa shangaa lol, km mlinzi wa sungu sungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona alienda kufanya onesho la nguo za asili za moja ya makabila ya hapa Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji444]
Yooh
Sikiliza napirisent, Wasafi porodaction
Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama jogoo wa rukeli keli [emoji444]
Nimtume nani kule kwetu madale, [emoji445]
Aende salima kule kwa mama totoo,
Mwambie huku BET ukumbini AC ni kali,
Na mimi nimefaa mgolori na nina sime kali.
Mimi mpaka sasa bado kamata Tuso,
Sipati hata salamu na picha na mastaa nimekosa,
Yani nimefaa kimasai lakini heshima mekosa,
Sana-sana wasungu wanacheka wanasema nimfaa uchi,[emoji445]
[emoji445] Mi mmasai bwana nasema mi masai
Ni kitu najivunia masai fahari yangu
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Nadumisha mila ile wengine ishashindwa
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Tamaduni yenye nguvu ilobaki afrika[emoji445]
Lyrics by: Numbisa
Edit by : Kigoma Independent
Hii picha ya kichonganishi.Habari wakuu
Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa.
Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko.
Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy.
Babu Tale ametokelezea na suti yake ya chirimenNaona alienda kufanya onesho la nguo za asili za moja ya makabila ya hapa Tanzania.
Yaani mbombo ngafuTanzania ndio nchi pekee ukivuka malengo ,basi umeongeza chuki,fitina na kejeli.
Ndio maana watu wavisiwani hawa taki muungano na watz
Connection ipi wakati ameonekana mbugila mbugila tu nani anahangaika na mmasaiπ€£π€£πππ€£ mtu wa mwituniKwenda pale amepata connections nyingi sana na amekutana na watu muhimu sana kwenye sanaa yake, na pengine atapata collabo nzuri tu na wasanii mbali mbali kitu ambacho ni tija kwake na taifa kwa ujumla..
Those are chances to grabHabari wakuu
Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa.
Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko.
Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy.
ππππππ Motika recordsπ΅
Yooh
Sikiliza napirisent, Wasafi porodaction
Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama jogoo wa rukeli keli π΅
Nimtume nani kule kwetu madale, πΆ
Aende salima kule kwa mama totoo,
Mwambie huku BET ukumbini AC ni kali,
Na mimi nimefaa mgolori na nina sime kali.
Mimi mpaka sasa bado kamata Tuso,
Sipati hata salamu na picha na mastaa nimekosa,
Yani nimefaa kimasai lakini heshima mekosa,
Sana-sana wasungu wanacheka wanasema nimfaa uchi,πΆ
πΆ Mi mmasai bwana nasema mi masai
Ni kitu najivunia masai fahari yangu
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Nadumisha mila ile wengine ishashindwa
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Tamaduni yenye nguvu ilobaki afrikaπΆ
Lyrics by: Numbisa
Edited by : Kigoma Independent
Mkuu hizo nguo kusema kweli mond kauzwaaa kabisaa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii picha ya kichonganishi.
Mbona kapauka sana?
Nomaa kaingia anashangaa shangaa kama ,mtu katoka jelaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Nacheka hapo linavoshangaa shangaa lol, km mlinzi wa sungu sungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wale inabidi mond afanye kitu awapelekee motoDah wale wadada nahisi wanatoka Buza kwa Mparangee
Tatizo wabongo tumejawa na wivu plus chuki, baada ya mond kushindwa kuna m'mbwa wamefurahi sasa roho zao kwatuuuHabari wakuu