Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

Kwenye haya maisha kila mtu ana Priority zake

Yeye hizo ndo Priority zake,yaani bila hilo gari haoni kama kuna kitu Amefanya hapa duniani,hata angekuwa Billionaire wa kwanza duniani.

Mwacheni atumie hela zake kutimiza ndoto zake.

Na wewe ukipata zako wekeza utimize ndoto yako ya kuwa mwekezaji mkubwa Afrika.
 
Huku kwetu ni hati fungani sivyo?
A dividend is a distribution of profits by a corporation to its shareholders. When a corporation earns a profit or surplus, it is able to pay a proportion of the profit as a dividend to shareholders.
 
Mimi nawaza positive, nadhani yupo sahihi maana Usanii ni zaidi ya kuimba. Kuna Mengi hatuyajui usikute Kuna Pesa analipwa Kama Balozi kulileta Hilo Ndinga.

Pia Hiyo ndinga kwakuwa ni Exceptional itamuingizia pesa haitakaa bure.
 
Mimi nawaza positive, nadhani yupo sahihi maana Usanii ni zaidi ya kuimba. Kuna Mengi hatuyajui usikute Kuna Pesa analipwa Kama Balozi kulileta Hilo Ndinga.

Pia Hiyo ndinga kwakuwa ni Exceptional itamuingizia pesa haitakaa bure.
Unawaza sahihi
 
Nimesoma mpaka nilipofika kwenye akodishe magari yake kwenye harusi nimejutia muda wangu niliopoteza
 
Watu kwa kupangia matumizi wengine hamjambo,Tafuta zako ununue hizo Noah..Haukuwepo wakati anazisaka kwahiyo usimpangie kuspend..
 
Wishful thinking, kwanini utumie mfano wa Ronaldinho ambaye alikuwa ni mtu wa kujirusha sana clubs na hakuwezeka. Kitu gani kimekufanya usitumie mfano wa Michael Jordan ambaye alikuwa akiwekeza, dogo Sadala si wa kufilisika leo wala kesho.
Makeke yote hayo anayoyafanya wenye upeo mdogo wanashindwa kubaini kama anaongeza thamani ya brand yake, yuko na timu makini hivyo kila anachokifanya kiko calculated.
 
Voda walishapewa gawio?
 

Mawazo ya kimaskini kweli Diamond level aliyofikia awaze biashara ya kukodisha magari kwenye harusi Dahhh umezingua mi nadhani angetumia image yake kwenye makampuni makubwa kuingiza kipato kama anavyofanya na pepsi hata hao wanamziki wa Nigeria ni brand ndio zinawapa vipato sio magari jamani magari siku hizi ni vitu vya kawaida daahh
 
Umenikumbusha Tyson alikuwa ananunua magari bentley mawili kwa pamoja siku moja[emoji23]. Amewahi mpaka kununua gari asubuhi alafu jioni akapata ajali na kumuachia mtu wa gereji
 
Simba awe billionaire mara ngapi? Mbona tayari ni billionaire? Jumlisha kila kitu alichonacho na alivyo-invest. Diamond is at another level. Kudos to him. Kijana anajuhudi sana kupambana na kutafuta maisha mazuri. Tusimuonee wivu bali tujifunze kutoka kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…