Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

Umenikumbusha Tyson alikuwa ananunua magari bentley mawili kwa pamoja siku moja[emoji23]. Amewahi mpaka kununua gari asubuhi alafu jioni akapata ajali na kumuachia mtu wa gereji
Yaani sijui why blacks hatuoni kesho yetu ikoje kwa wajukuu zetu.
 
Hapa dunian maisha ni mafup sana.Ukifikiria kuwekeza tu.hauwez kujua hao utakaowaachia hzo mali watazitumiaje.
Mwachen azitafte na kuzitumia zake hzo.
 
Where is the reference you btch a$$$nigga
 
Msanii bila kufanya hvyo vimbwanga hutoboi , tatizo akili zako za kilimo cha mpunga na matikiti unazileta huku ....!! Mahesabu ya nunua mbuzi wawili baada ya mwaka Una mbuzi 30 ....!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"I don't take advice from people less successful than me" Mondi should apply this.

Mtu anakuja na mawazo ya kimaskini ya kukodishana magari sababu ndo kitu anachokijua, wenzake washapita hiyo hatua.
 
Lijinga wewe P Square net worth $150m..Acha umalayamalaya kwa Sauti ya late JKN
 
Kwanini unateseka na maisha ya mtu kwanini wewe usitafute pesa zako ukafanya unavyotaka wewe wewe unajua huyo jamaa anaingiza kiasi gani Cha fedha mpaka umpangie matumizi?
 
Ukisema timu ya Diamond iko smart,hapo sikubaliani nawe.
Ukisema Diamond mwenyewe yupo smart,hapo nakubaliana nawe 100%.
 
Domond hata top 100 ya bongo hayumo
 
Wewe mkulima wa Alizeti unapomshauri mwanamuziki kwa kutumia akili zako za kwenye alizeti inaleta ukakasi sana. Anachofanya Diamond ni sahihi kabisa kwa career yake. Wewe unavyoona anatamba ndo jinsi anaingiza hela. Mambo mengine uliza kwanza wataalamu wanaohusika kabla ya kuandika uzi
 
Huo ushauri wako ni mzuri ila kwa Ulaya. Kwa hizi nchi zetu mambo hayatabiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…