Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Super Mega Star, Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano huko Ughaibuni (Uingereza) amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee barani Afrika anayeweza kufanya aina zote za muziki kutoka katika kila kona ya Afrika.
Diamond alisisitiza uwezo wake wa kipekee wa kubadilika na kuendana na mitindo mbalimbali ya muziki wa Kiafrika, jambo linalomtofautisha na wasanii wengine.
Diamond alisisitiza uwezo wake wa kipekee wa kubadilika na kuendana na mitindo mbalimbali ya muziki wa Kiafrika, jambo linalomtofautisha na wasanii wengine.