Diamond Platnumz: Mimi ndiye msanii pekee Afrika ninayeweza kufanya aina zote za muziki wa Afrika

Diamond Platnumz: Mimi ndiye msanii pekee Afrika ninayeweza kufanya aina zote za muziki wa Afrika

Na msanii pekee Africa aliyekutana na kulala kwenye nyumba ya p didy
 
Super Mega Star, Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano huko Ughaibuni (Uingereza) amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee barani Afrika anayeweza kufanya aina zote za muziki kutoka katika kila kona ya Afrika.

Diamond alisisitiza uwezo wake wa kipekee wa kubadilika na kuendana na mitindo mbalimbali ya muziki wa Kiafrika, jambo linalomtofautisha na wasanii wengine.

Kweli kabisa 100%
 
Back
Top Bottom