Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Na wao wana Kiswahili cha kawaida sanaSema nn, ana English ya kawaida sana.
Jikite kwenye mada... kwani umewahi mlipa ada international school? Au kiingereza ni first language ya Tanzania?Sema nn, ana English ya kawaida sana.
Japo ni mshabiki wa kijani Ila dogo yuko njema sana.. Kipaji anachom. Na ni game cjanger mzuri sanaSuper Mega Star, Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano huko Ughaibuni (Uingereza) amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee barani Afrika anayeweza kufanya aina zote za muziki kutoka katika kila kona ya Afrika.
Diamond alisisitiza uwezo wake wa kipekee wa kubadilika na kuendana na mitindo mbalimbali ya muziki wa Kiafrika, jambo linalomtofautisha na wasanii wengine.
Ila Domo toka aonane na P didy room kwake, hayuko sawa kabisaa
Kuna kitu kinamsumbua huyu. Lol