Ila Domo toka aonane na P didy room kwake, hayuko sawa kabisaa
Kuna kitu kinamsumbua huyu. Lol
Hii inapaswa kufafanuliwa kiumakini je unataka kumaanisha nn dada πππIla Domo toka aonane na P didy room kwake, hayuko sawa kabisaa
Kuna kitu kinamsumbua huyu. Lol
Aaah bas tyuuu, ππππHii inapaswa kufafanuliwa kiumakini je unataka kumaanisha nn dada πππ
Kwa kweli.Inasikitisha sana
Funguka, acha kujiogopa Lol. ππππWe umejuaje au nawewe au basi π
Umeelewa mada husika?Ana tuzo za grammy ngapi..
Ule uwanja wa Wembley alishaujaza mara ngapi..
Kujaza viukumbi vidogo tena kwa mashabiki waliokuja KUWAANGALIA wasanii WA naijeria anaona kua ndio Starboy .kalagabaho.
Umeelewa alichoongea?Ila Domo toka aonane na P didy room kwake, hayuko sawa kabisaa
Kuna kitu kinamsumbua huyu. Lol
Nieleweshe wee Noel wake, mxxxiiiieeeew.Umeelewa alichoongea?
Mbona unatukana wakati nimekuuliza swali simple tuNieleweshe wee Noel wake, mxxxiiiieeeew.
Umetukanwa wapiii?Mbona unatukana wakati nimekuuliza swali simple tu
Huenda unayo majibu sahihi tuorodheshee ni kipi domo alifanya πππAaah bas tyuuu, ππππ
Kama haujaona umenitukana wapi naomba tufunge mjadalaUmetukanwa wapiii?
Ni masharti gani hayo tena Mkuu?Ila ajitahidi kuzingatia masharti ili aishi maisha mengi
Kweli kabisa 100%Super Mega Star, Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano huko Ughaibuni (Uingereza) amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee barani Afrika anayeweza kufanya aina zote za muziki kutoka katika kila kona ya Afrika.
Diamond alisisitiza uwezo wake wa kipekee wa kubadilika na kuendana na mitindo mbalimbali ya muziki wa Kiafrika, jambo linalomtofautisha na wasanii wengine.
Muulize Tale, ππππHuenda unayo majibu sahihi tuorodheshee ni kipi domo alifanya πππ
Ugomvi na wabunge mim staki πMuulize Tale, ππππ