Kiukweli jamaa katusua ukiangalia na alikotokea,nashangaa baadhi ya watu wanamfananisha na Davido ambaye kwao zipo.Huyo Ndomo ashajiona amekuwa SHUJAA sana wa MAISHA.
Anyway, YETU MACHO !
Naomba nijuzwe davido ana mafanikio gani ya kumzidi mondi ?Hivi diamond angekuwa amefikia mafankio kama ya Davido inaonekana tusinge kaa nchini hapa
Lakini nimegundua kitu kimoja ,hapa nchini hakuna wa kumlinganisha naye ndo maana sasa analinganishwa na wasanii wenye majina makubwa wa nchi nyingine kama davidoHapana tungeishi the issue kuna watu wanawish dai afeli ili washangilie haswaa ma ex zake ndo maana anawajibu shit!!!mi sa hv nampenda mondi
Ana pesa kuliko DiamondNaomba nijuzwe davido ana mafanikio gani ya kumzidi mondi ?
Diamond ameongea yale maneno kwa ajili ya wasiompenda,ameongea kama dongo kwa wale wote wenye chuki naye na wanambania kwenye kupiga muziki wake,kwa hiyo yuko sawa,na hajataja jina la mtu au kikundi chochote lakini wote mnajua kwamba mondi ana bifu na baadhi ya watu na baadhi ya ofisi fulani kwa hiyo hayo ni madongo kwaoDiamond asiongee kwa dharau kiasi hicho, ni afadhali akakaa kimya afanye mambo yake. Mafanikio yake yataongea ila kuanza dharau na kejeli kwa wengine sio kitu kizuri.
Sijakataa na sio kwamba sijaelewa, ila maisha haya hamna anaeijua kesho yake. Angalia watu waliokuwa na mafanikio kama Mike Tyson mpaka amefilisika.Diamond ameongea yale maneno kwa ajili ya wasiompenda,ameongea kama dongo kwa wale wote wenye chuki naye na wanambania kwenye kupiga muziki wake,kwa hiyo yuko sawa,na hajataja jina la mtu au kikundi chochote lakini wote mnajua kwamba mondi ana bifu na baadhi ya watu na baadhi ya ofisi fulani kwa hiyo hayo ni madongo kwao
Wewe una chuki na zari,kubali ukweli tu kwamba zari ni kichwa,kabla ya urithi wa ivan tayari alikuwa na shughuli zake zinazomwingizia kipato cha kutosha sana tu,ule urithi hakuung'ang'ania yeye,ni sababu tu wanawe ni wadogo wa umri na yeye ndo mzazi na mlezi basi ana jukumu la usimamizi wa mali za wanawe.acha chuki,pambana utafute vyako na wewemnapenda sana kumkuza Zari as if ana akili sana za kutafuta kumbe ni gold digger tu...lini amemtafutia Diamond shows au matangazo? angekuwa ana akili nyingi asingeishi kwa kutegemea vya kurithi kwa ivan na kupewa na diamond angetafuta vyake...zari na wema awachekani ni vile mmoja alibahatika kupata child support
Kuna kitu umeficha hapaTell them mondi bin Ladein kufeli kwako labda mi Sandrah adanjii
Davido baba yake tajiri mkubwa ni tofauti sana na diamond aliyeazia zero paka hero huyo davido ayawai kuijua shida ni nini ni watu wawili tofauti sana diamond yupo mbali sana kwa mafanikio ana lebo kubwa africaAna pesa kuliko Diamond
Anapiga show nyingi kuliko Diamond
Ametoa hit songs nyingi kuliko diamond na ana haters wengi kuliko diamond kutokana na umaarufu wake.
Na ndiye alo mtoa diamond kimataifa.
Unadhani utajiri wa davido karithi? Na yeye kajitengenezamea hela zake ndio maana ana hustle kila sku.Davido baba yake tajiri mkubwa ni tofauti sana na diamond aliyeazia zero paka hero huyo davido ayawai kuijua shida ni nini ni watu wawili tofauti sana diamond yupo mbali sana kwa mafanikio ana lebo kubwa africa
Hatar sana ...The kid's arrogance is annoying
factDiamond asiongee kwa dharau kiasi hicho, ni afadhali akakaa kimya afanye mambo yake. Mafanikio yake yataongea ila kuanza dharau na kejeli kwa wengine sio kitu kizuri.
kwahiyo wizzkid ..run town .Casper nyovest ..wamezaliwa wakakuta kwao zipo...wewe Jamaa bwana ...umeshawahi kuskia wana mashauzi yakiboya...Jamaa yenu ana paswa kuwa gentleman aiseeeKiukweli jamaa katusua ukiangalia na alikotokea,nashangaa baadhi ya watu wanamfananisha na Davido ambaye kwao zipo.
Diamond ni hardworker na ametokea kwenye sifuri na leo hii anasubiri kufanya shoo kombe la dunia.
Duh,naona zari akikuribia utammeza bila maji kwa chuki hiyo,msibabaishwe na show off zake huyo Zari zaidi ya mali za mumewe na Diamond amewai kumiliki biashara gani? ebu yoyote aseme hapa...zari kamkuta diamond ana mafanikio tayari msimpe heshma hazizostaili
kwa akili yako inavyodhani kuna mtu ambaye amewahi kufanikiwa akakosa maadui..nani huyo mtaje hap ...kwahiyo wataka kina MZee mengi ..manji ..rostam ..kikwete na watu wote waliofanikiwa waanze kukaa mbele ya media nikuwatemea shit watu wote ambao ni maadui zao ....hebu onyesha kupevuka basiiiiiiDiamond ameongea yale maneno kwa ajili ya wasiompenda,ameongea kama dongo kwa wale wote wenye chuki naye na wanambania kwenye kupiga muziki wake,kwa hiyo yuko sawa,na hajataja jina la mtu au kikundi chochote lakini wote mnajua kwamba mondi ana bifu na baadhi ya watu na baadhi ya ofisi fulani kwa hiyo hayo ni madongo kwao
swali ni Dogo tu ..kina run town "' wizkid wote Mali wamezikuta kwao !?? kwanza kwama davido angekuwa mvivu wa kufikiri hiyo ndio ilikuwa sababu ya kubweta kwa sbabu wazazi wake siwanazo bwana ..so anatafuta ili iweje ...lakini ndio kwanza Jamaa ana hustle kama kazaliwa temeke ..pesa ..pesa na yeye daily anaachia mashuti Mara afnye ngoma na young thug ..Mara apige show babkubwa London....Unadhani utajiri wa davido karithi? Na yeye kajitengenezamea hela zake ndio maana ana hustle kila sku.
Diamond mkubwa ila si kuliko Davido
mnapenda sana kumkuza Zari as if ana akili sana za kutafuta kumbe ni gold digger tu...lini amemtafutia Diamond shows au matangazo? angekuwa ana akili nyingi asingeishi kwa kutegemea vya kurithi kwa ivan na kupewa na diamond angetafuta vyake...zari na wema awachekani ni vile mmoja alibahatika kupata child support