ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Kiukweli jamaa katusua ukiangalia na alikotokea,nashangaa baadhi ya watu wanamfananisha na Davido ambaye kwao zipo.Huyo Ndomo ashajiona amekuwa SHUJAA sana wa MAISHA.
Anyway, YETU MACHO !
Diamond ni hardworker na ametokea kwenye sifuri na leo hii anasubiri kufanya shoo kombe la dunia.