Tell them tell themmsibabaishwe na show off zake huyo Zari zaidi ya mali za mumewe na Diamond amewai kumiliki biashara gani? ebu yoyote aseme hapa...zari kamkuta diamond ana mafanikio tayari msimpe heshma hazizostaili
mond hawez feli wakufeli ni kina mange na maandamano hewa
Sawa sawaaaaahahahaqh mnapenda zari mpaka mnatengeneza uongo mjifuraishe....zari muuza sura tu hana anachoweza kutafuta kwa jasho lake zaidi ya kuchuna mabwana
Mchawi mkubwa wwHuyo Ndomo ashajiona amekuwa SHUJAA sana wa MAISHA.
Anyway, YETU MACHO !
[emoji38] [emoji38] ndo hivyo tena mkuu, ashajiringanisha tukubaliane nae tuHahahahaha! Bakheresa huyu huyu au kuna mwingine? Mbona kama ulinganisho ume......
kwani hajayafikia....?Hivi diamond angekuwa amefikia mafankio kama ya Davido inaonekana tusinge kaa nchini hapa
Its confidence nimependaThats confidence not arrogance.
Na wewe piga kelele tukusikie.... KhaaaMchizi kelele nyingii ndio hiko hata mimi concern yangu
Asa mi nipige za nn jombaa!Na wewe piga kelele tukusikie.... Khaaa
Hahahahaha! Brother Bakhresa sio Kirahisi aisee[emoji38] [emoji38] ndo hivyo tena mkuu, ashajiringanisha tukubaliane nae tu