Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

msibabaishwe na show off zake huyo Zari zaidi ya mali za mumewe na Diamond amewai kumiliki biashara gani? ebu yoyote aseme hapa...zari kamkuta diamond ana mafanikio tayari msimpe heshma hazizostaili
Tell them tell them

Yaani wanavyomsujudia huyo zari hana chochote!!!!
 
mond hawez feli wakufeli ni kina mange na maandamano hewa

Wewe ni Mtanzania Halisi kabisa
Siku hizi imagration wana kipimo kipya ya kumjua mzaliwa wa Tz au mhamiaji
Kipimo chao ni
JINSI UTAVOJIBU MASWALI WATAKAYO KUULIZA
kwamfano kuna rafiki yangu walimhoji wakamuuliza swali
UKIPATA WATOTO WAWILI MAPACHA WAKIKE NA WAKIUME UTAWAITA MAJINA GANI???
Jamaa akajibu “MAGU NA MANGE”
Hapo hapo walimtema ma kumwambia hayo majibu yapo kwa wa Tz halisi kabxaaa[emoji1321]
 
Kweli watoto Wa uswazi wana akili kuliko watoto Wa kishua hahaha hyo safi

Ova
 
Huyu unaweza ukasikia kazi hana
28434696_176291483093995_1712986064638967808_n.jpg
 
Yaani kwenye kipindi cha leo XXL kwenye segment ya 255 hawajazungumzia juu ya album ya Mondi zaidi ya kuizungumzia album ya Wakazi anayozindua kesho kweli nimeamini
 
Capture2.PNG

Alipewa kapewa ,juzi tu Rick kazindua bidhaa yake na hao ndio mastaa aliowatag na ndugu yetu wa Tandale yumo.
 
Mimi nafikiri anachofanya Daimond Ni sahihi kabisa, kama unajikubali na unaona unafanya kile unachokiamini kwanini uogope....tuache kuwa na chuki na watu waliofanikiwa.
 
Back
Top Bottom