Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

hahahaqh mnapenda zari mpaka mnatengeneza uongo mjifuraishe....zari muuza sura tu hana anachoweza kutafuta kwa jasho lake zaidi ya kuchuna mabwana

Nimeshakuambia wewe ni wivu.com

Pambana na khali yako uombee umfikie.. sio kunibwatia humu..

CIAO
 
swali ni Dogo tu ..kina run town "' wizkid wote Mali wamezikuta kwao !?? kwanza kwama davido angekuwa mvivu wa kufikiri hiyo ndio ilikuwa sababu ya kubweta kwa sbabu wazazi wake siwanazo bwana ..so anatafuta ili iweje ...lakini ndio kwanza Jamaa ana hustle kama kazaliwa temeke ..pesa ..pesa na yeye daily anaachia mashuti Mara afnye ngoma na young thug ..Mara apige show babkubwa London....

davido anastahiki sifa juhudi zake sio za kubezwa ..kuna vijana wengi tu baba zao walikuwa napesa lakini waliishia kubwia unga ...
Ndugu yangu kuelekeza watu kaziii
[emoji1]
 
kwahiyo wizzkid ..run town .Casper nyovest ..wamezaliwa wakakuta kwao zipo...wewe Jamaa bwana ...umeshawahi kuskia wana mashauzi yakiboya...Jamaa yenu ana paswa kuwa gentleman aiseee
Hao uliowataja wote wana mashauzi,sema unayasikia sana ya Diamond kwakuwa ni MSWAHILI mwenzio..!
 
Screenshot_2018-03-15-02-11-33.png

Wizkid Arrogance
 
Hao uliowataja wote wana mashauzi,sema unayasikia sana ya Diamond kwakuwa ni MSWAHILI mwenzio..!
hkuna Mwenye mashauzi hapo wewe ....acha chuki "" na mimi diamond c mchukii "" maana hata nikimchukia simpunguzii kitu ..but I stand to be correct "" mtu anapokosea anapaswa aambie " nasio kumjaza masifa ya umalaika"" tu
 
msibabaishwe na show off zake huyo Zari zaidi ya mali za mumewe na Diamond amewai kumiliki biashara gani? ebu yoyote aseme hapa...zari kamkuta diamond ana mafanikio tayari msimpe heshma hazizostaili

Ha ha ha haaaa

Ubishi wa nini wakati ukweli ya alichomfanya Dee awe kimeonekana..

Mali ni zake na late ex-hubby wake pamoja na zake yeye mwenyewe kwa yake.. nenda basi kamnyanganye.. ana wafanyakazi kama 440 nenda kwawaondoe.. uwape wewe kazi na kuwalipa..

Wivu.com
 
Stay humble, fans blast Wizkid over arrogance

Kuna mpuuzi anasema wizkid hana mashauzi...
Tatizo huyu Diamond ni mswahili mwenzenu,ndio maana mnamfuatilia sana..!
Jamaa unaonyesha kuwa sio mkomavu wa kufikiri ..kwahiyo ukishindana na mtu kwa hoja "" huwa unahamia kwenye matusi ....""jifunze kuheshimu mawazo ya watu "" usilazimishe watu kuwaza kama wewe ..mother fantaaaaa
 
Jamaa unaonyesha kuwa sio mkomavu wa kufikiri ..kwahiyo ukishindana na mtu kwa hoja "" huwa unahamia kwenye matusi ....""jifunze kuheshimu mawazo ya watu "" usilazimishe watu kuwaza kama wewe ..mother fantaaaaa
20748084_l_f27d9778ab6d335231d637fa2d126cee.png


Madha fwanta..!
 
Ana pesa kuliko Diamond
Anapiga show nyingi kuliko Diamond
Ametoa hit songs nyingi kuliko diamond na ana haters wengi kuliko diamond kutokana na umaarufu wake.
Na ndiye alo mtoa diamond kimataifa.
Inaonekana umejipanga sana kukosoa tu.
 
kwahiyo mtu akisema no body can equal me ..basiii ni arrogance... hahaaa wewe Jamaa hebu jitambue basiii""

wewe wajua kilichompandisha ninini !?? kama ni devil worshiped je !?? huyo binaadamu atAmshsha vipi bila ya shetani kupenda ""?
Kweli kumbe sikukosea kukuita MPUUZI..!
Kwani wewe kilichompandisha Diamond unakijua mpaka binadamu waweze kumshusha..!?
 
Kweli kumbe sikukosea kukuita MPUUZI..!
Kwani wewe kilichompandisha Diamond unakijua mpaka binadamu waweze kumshusha..!?
umeona wapi nimesema kuwa diamond atashushwa na binaadamu ..au wadandia treni kwa mbele. .una akili timamu kweli ..au waishi kwa kukariri maisha ..hivi unaijua 7bu iliyonifnya nitoe ile statement unajua chake kilikuwa nikipi !?? daaahggh wewe Jamaa kweli ni 0 brain ..acha kunilisha maneno ambayo cjasema aiseee
 
Back
Top Bottom